mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Ukweli ni kwamba Sehemu ya makazi mapya ya viwanja bora iliyopimwa kuanzia mwaka 2002 na 2004 sehemu ya Bunju Beach na mbweni ni sehemu mzuri za kuishi kwani imepangiliwa vizuri kwa ajiri ya makazi
Sehemu ambazo zilikuwa zikitamba, Mbezi beach na Oysterbay kwa sasa zitasubiri sana kwani zimeharibiwa sana na watu wenye tamaa kwa kubadilisha viwanja matumizi kuvifanya sehemu ya viwanda na biashara
Kwa sasa ngurumo za machine, mahotel, na kumbi za starehe zimewafanya wakazi wengi kukimbia nyumba zao na kwenda kuanzisha makazi mapya kwa sababu ya sound pollution, na taka taka nyingi zinazotokana na masupermarket kila sehemu bila mpangilio
Hakuna tena viwanja vya michezo, kama ilivyokuwa pale drive inn, kila sehemu imejengwa maghorofa eti yanaitwa apartiment yaani full uchafu. ona sasa ramani ya mbweni na Bunju beach ilivyo nzuri linganisha ya Oysterbay