Bungeni wana ccm wapo kwenye kikao cha dharura

resiro

Member
Apr 2, 2012
10
0
Bungeni wapo wabunge wa upinzani na mawaziri wanne. Lukivu, mwanri, mkuchika na AG. Wengine wapo kwenye kikao cha dharura kuzibwa midomo yao. JE TUTAFIKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…