residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
ccm kila mtu anajitahidi kufanana na jpm, hata wale tuliowaona kama wana hekima kidogoWakuu,nimeona wabunge wa CCM wakiomba muongozo wa kwa nini wabunge waliopiga kura ya Hapana kwa bajeti wasinyimwe pesa ya hiyo bajeti na wasiruhusiwe kuhoji maswala yoyote yahusuyo maendeleo yanayotokana na bajeti hii waliyoikataa.
Je,hii ni haki na halali kisheria?
Wakuu,nimeona wabunge wa CCM wakiomba muongozo wa kwa nini wabunge waliopiga kura ya Hapana kwa bajeti wasinyimwe pesa ya hiyo bajeti na wasiruhusiwe kuhoji maswala yoyote yahusuyo maendeleo yanayotokana na bajeti hii waliyoikataa.
Je,hii ni haki na halali kisheria?
Tutaitibuje??CCM ni cancer ya hatari sana.
Mbona huko CHADEMA mnamwambia MBOWE Ndiooooo kwa kila kitu mkitoka nje, mnajipa UJASIRI KOKOCCM hawajui maana ya uchaguzi au kupiga kura. Kwao kupiga kura ni kusema 'ndiyo'. Hawajui kwamba 'hapana' ni sehemu ya kupiga kura. Ila siyo kosa lao maana utafiti wa Twaweza, ambao CCM wamekubaliana nao 100%, unasema hicho chama kinaungwa mkono na wenye elimu duni na vikongwe.
Wakuu,nimeona wabunge wa CCM wakiomba muongozo wa kwa nini wabunge waliopiga kura ya Hapana kwa bajeti wasinyimwe pesa ya hiyo bajeti na wasiruhusiwe kuhoji maswala yoyote yahusuyo maendeleo yanayotokana na bajeti hii waliyoikataa.
Je,hii ni haki na halali kisheria?
Mbowe hana madhara kwa taifa acha ujinga. Ruhusa ata nyie kumwambia magu ndiooooooo miaka yote pale lumumba wala hatutajalMbona huko CHADEMA mnamwambia MBOWE Ndiooooo kwa kila kitu mkitoka nje, mnajipa UJASIRI KOKO