residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,018
- 9,606
Wakuu,nimeona wabunge wa CCM wakiomba muongozo wa kwa nini wabunge waliopiga kura ya Hapana kwa bajeti wasinyimwe pesa ya hiyo bajeti na wasiruhusiwe kuhoji maswala yoyote yahusuyo maendeleo yanayotokana na bajeti hii waliyoikataa.
Je,hii ni haki na halali kisheria?
Je,hii ni haki na halali kisheria?