johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,358
- 142,579
Kwa mujibu wa taarifa ya Spika leo asubuhi Mheshimiwa Masele ameitwa kurejea nyumbani toka kikao vya Bunge la Afrika linaloendelea Afrika kusini kwa sababu za kimaadili.
Kwa sababu hiyo ubunge wake umesimamishwa na ametakiwa kufika katika kamati ya maadili ya Bunge na ya Chama chake CCM, hadi taratibu hizo zitakapo kamilika na kufanya maamuzi.
Mheshimiwa Masele ni mbunge wa Bunge la Afrika na pia ni Makamu wa Raisi wa Bunge hilo.
Huyu FARU Ndugai bwana.Kwa kosa gani?
Kuhadi wake kaziniKwa mujibu wa taarifa ya Spika leo asubuhi Mheshimiwa Masele ameitwa kurejea nyumbani toka kikao vya Bunge la Afrika linaloendelea Afrika kusini kwa sababu za kimaadili.
Kwa sababu hiyo ubunge wake umesimamishwa na ametakiwa kufika katika kamati ya maadili ya Bunge na ya Chama chake CCM, hadi taratibu hizo zitakapo kamilika na kufanya maamuzi.
Mheshimiwa Masele ni mbunge wa Bunge la Afrika na pia ni Makamu wa Raisi wa Bunge hilo.
Kusema ukweliKafanya nini huyu?
KAMPUNI YA MAPISHI!Mwee! Leo hii kampuni iliyokuwa inatuuzia ubwabwa wa bei chee na samaki wa kibua ya Mangesho catering services ndio imekuwa kampuni ya ukaguzi!!! Tutegemee riport ya kimbea iliyojaa umbea...