Bungeni raha kweli !!!!!!!!!!!!!!!!!

Bungeni raha kweli !!!!!!!!!!!!!!!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
581079_222024717900159_100002778988045_270111_1919644704_n.jpg


Who is that picture?
Kiongozi kama huyu hafai kuongoza wananchi wake, Mbunge kama huyu iweje wananhi wake wamchague na anakwenda bungeni kulala usingizi? Ahhhhh Wa Tanzania tuamkeni kuwachaguwa Viongozi imara.
 
Kwani walioweka umri wa kustaafu kazi na kupumzika walikosea ? Nyie si mnasema katika siasa hakuna kustaafu mpaka mtu a-RIP.
 
Hapa Anamwombea Spika!!......ukimkurupua hapo atakuambia kuna jambo alikuwa anatafakari......
 
sasa kama jana yake alikesha na binti kama 'lulu' what do u expect??? i luv africa!
 
Who is this brilliant striker? Na namba yake bungeni ni namba ngapi vile?
 
581079_222024717900159_100002778988045_270111_1919644704_n.jpg


Who is that picture?
Kiongozi kama huyu hafai kuongoza wananchi wake, Mbunge kama huyu iweje wananhi wake wamchague na anakwenda bungeni kulala usingizi? Ahhhhh Wa Tanzania tuamkeni kuwachaguwa Viongozi imara.

Hivi allowance ya mbunge kwa siku ni shilingi ngapi vile ???
 
mwili hauwezi tena dharuba na umeshakata,ila hataki kuwaachia vijana matokeo yake ana lala ovyo mtumzima.
 
yaani hyu ana tofauti gani na mugabe? yaani mizee hii ikae home ulee wajukuu..tatizo lao hawakubali kuzeeka hawa haani hapo ukute kakesha na mapangaboi ya vitoto vya UDOM afu asubuhi anaenda kujadili miswada na majedwani kama yanaafikiwa...aghhh nchi hii bana
 
Ndiyo sababu tunasema chagueni vijana kuongoza siyo wazee,usimlaumu amechoka lazima apige usingizi
 
Ni pozi tu. Hata msibani kuna kucheka na kutaniana.

Napita tu.
 
Back
Top Bottom