BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

ingekua alotoa hili tusi ni mbunge wa kile chama kinachoogopwa na CCM pangechimbika. lakini kwa vile ni mwenzao wakapotezea na kujifanya hawajasikia.
Kwa kifupi, yule binti wa kibena bunge limemshinda, haya yote yanasababishwa na yeye anawalewa sana wa chama chake waziwazi bila aibu, unadhani wengine watakubali, she has to face the consequences.
 
labda tuseme cdm wanavurugu ok?!! ivi inaingia akilini kweli wabunge wa ccm wanapotukana na kufanya fujo bungeni na hawachukuliwi hatua kali,nani atakaeelewa ili suala?

kwanini iwe kosa kwa wapinzani kusimama ata mara mia,ilhali ccm wanatusi na wanapeta tu? hawa adi watiane makonde mule ndo akili zitarudi...

kuna upendeleo wa dhahiri kabisaa kweupe pee!!
 
Waliotukana matusi makubwa wako bungeni walioomba mwongozo wamefukuzwa nje nje bunge kwa siku 5. Very interesting indeed!!
 
Kwa matumzi haya ya "f word" bungeni basi Spika aidhinishe rasmi ya kuwa bunge letu sasa ni "X rated" na lisirushwe live kwa jamii yote kuangalia...Kama TCRA wangeadhibu kituo cha televisheni kama kingeonyesha mambo yasiyo na maadili ni vipi Mbunge huyu aliyediriki kutamka tusi kubwa akiwa LIVE ? CHONDE CHONDE busara itumike jamani...
 
There's no way you can justify this, absolutely, NO WAY! Bungeni? Huku ukifahamu fika kwamba kuna watu all over the country wanasikiliza na wengine kuangalia LIVE? Unjustifiable aisee!
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!
 
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!
Yaani na wewe unavyokutana na wenzako unajiita GT!!!
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!

Yaani na wewe unajiita GT?! u-GT wanauona watu kutokana na hoja zako na sio wewe mwenyewe ujiite GT...Lililo dhahiri ni kwamba, hata tukisema tuteue ma-GT 200 hapa JF basing on their contributions, wewe huwezi kuwa mmoja wao labda kama wapiga kura awe Serukamba unaye-justfy upumbavu wake huku akishirikiana na mwenzake Lusinde.
 
kp19042013.jpg
 
Yaani na wewe unavyokutana na wenzako unajiita GT!!!

Yaani na wewe unajiita GT?! u-GT wanauona watu kutokana na hoja zako na sio wewe mwenyewe ujiite GT...Lililo dhahiri ni kwamba, hata tukisema tuteue ma-GT 200 hapa JF basing on their contributions, wewe huwezi kuwa mmoja wao labda kama wapiga kura awe Serukamba unaye-justfy upumbavu wake huku akishirikiana na mwenzake Lusinde.
jf bwana.....unakuta kajamaa kapo secondary ya vodafasta kana-argue na lecturer wa UD......
 
Back
Top Bottom