BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Angetokea mbunge akaomba muongozo kwa kiti. Kusudi mtoa muongozo afute kauli. There after akikaidi shauri lipelekwe kwenye kamati ya maadili. Chungulia ibara ya 100.
 
Wanaukumbi

Katika binge lililopita Mbunge Peter Serukamba alitukana tusi lisiloandikika hapa.

Ingawa sins kumbukumbu kama aliitwa kuhojiwa na kamati yoyote ya bunge

Sasa hii ya kamati ya bunge kuwahoji Mdee na Mbowe sielewi pengine ni double standard.
 
Like father like son... Like vyeti Bashite anakingiwa kifua like Nurse kufungwa kwa kughushi vyeti!
 
Sioni kosa la mdee!!! Haya Spika wewe ni fala kweli kwa sababu unapindisha kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya chama chako!!! Nitumie polisi ndani ya masaa 24!!!
 
Wanaukumbi

Katika binge lililopita Mbunge Peter Serukamba alitukana tusi lisiloandikika hapa.

Ingawa sins kumbukumbu kama aliitwa kuhojiwa na kamati yoyote ya bunge

Sasa hii ya kamati ya bunge kuwahoji Mdee na Mbowe sielewi pengine ni double standard.
Hivi mkuu unatarajia maajabu gani toka kwa hawa vilaza wa CCM??
 
Sioni kosa la mdee!!! Haya Spika wewe ni fala kweli kwa sababu unapindisha kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya chama chako!!! Nitumie polisi ndani ya masaa 24!!!

Maadili ya wabunge unayajua?? Acheni kujijaza ujinga ukitukana laazima sheria ifwate mkondo wake mdee naona anapambana na harmorapa kwa kiki
 
Back
Top Bottom