Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,211
- 8,308
hahahaa hii ni 'majangest' plus
WE NAE N JIPU HATA UMJUI NAIBU SPIKA WAKOHuyo Ndugai na Makinda wasipochukua hatua kwa serukamba,Wananchi tuungane kuliwajibisha hili bunge,kwa kweli mm nimechoka kabisa.
Like father like son... Like vyeti Bashite anakingiwa kifua like Nurse kufungwa kwa kughushi vyeti!Wanaukumbi
Katika binge lililopita Mbunge Peter Serukamba alitukana tusi lisiloandikika hapa.
Ingawa sins kumbukumbu kama aliitwa kuhojiwa na kamati yoyote ya bunge
Sasa hii ya kamati ya bunge kuwahoji Mdee na Mbowe sielewi pengine ni double standard.
Hivi mkuu unatarajia maajabu gani toka kwa hawa vilaza wa CCM??Wanaukumbi
Katika binge lililopita Mbunge Peter Serukamba alitukana tusi lisiloandikika hapa.
Ingawa sins kumbukumbu kama aliitwa kuhojiwa na kamati yoyote ya bunge
Sasa hii ya kamati ya bunge kuwahoji Mdee na Mbowe sielewi pengine ni double standard.
Sioni kosa la mdee!!! Haya Spika wewe ni fala kweli kwa sababu unapindisha kanuni na sheria za bunge kwa maslahi ya chama chako!!! Nitumie polisi ndani ya masaa 24!!!