Mkuu, huo sio utiifu bali ni usaliti. Mtu wa namna hiyo ambae ana kiuka maadili ya kazi yake na kukiuka kiapo chake, kwa kuvujisha mambo ya jeshi ni MSALITI. Kwa sasa mnaweza kuwafurahia, ila kumbukeni dhambi ya usaili haipotei, itaendelea kuwatafuta tu.
Acha kumvunjia heshima IGP Mwema, hakuna mtu asiye jua kuwa Mwema ni jembe, makosa ya kiufundi yanayo endelea kwa sasa ni mapungufu tu ya kiutendaji. Ifike wakati tujifunze ku-appreciate.
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!

sawa Tumtemeke kwenye sura mpya!!Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
weeeeeeeeeeeee!!!!! anatetea ugali, agome kwani hapendi kuwa kwenye payroll ya serikali????anaua ivoivo kishingo upande huku roho inamsuta.ingawa wengine ni wauwaji naturaly yaani tayari wana pepo mtaka roho za watu anaye itawala CCM.Hata wewe polisi unayetumwa kuua hivi huwezi kutumia akili zako kidogo kufikiri??
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Chuki yako dhidi ya CDM isikufanye ukawaweka Wanachadema ndani ya kapu moja. Kwa chuki yako umeamua kuifisha fikra yako na kutaka kuwaaminisha watu kuwa ni CDM peke yao wanaowachukia polisi kana kwamba CDM hawana ndugu,jamaa, marafiki au hata wafanyakazi ambao ni polisi. WANACHADEMA kama ilivyokuwa raia yeyote mpenda haki anachukia polisi ambao hawaheshimu raia na haki zao, ni wakatili na wanaokubali kutumiwa. Polisi wanafanya kinyume na yel niliyotaja ni rafiki wa CDM na raia wengine. With this end in view don't brand CDM as wenye chuki ila sema raia wote wenye mapenzi mema, wazalendo na wanaoona mambo kwa umbali zaidia ya pua watachukia polisi watenda maovu dhidi ya raia.
Jamani lazima tujue kuwa Polisi wamevamiwa na Polisi Jamii aka Green guards, Polisi wa ukweli hawaichukii CDM angalia kura za uchaguzi uliopita kwenye vituo vya kupiga kura zilizomakambini CDM ilipata kura nyingi sana. Kuanzia sasa tuwetunawachunguza mapolisi kwenye mikutano ya CDM tutagundua mengi sana.Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.
My take;
Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Kinana jangili,kwa lugha nyingine ni dentist wa temboKumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!