Serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania imetoa tamko na msimamo wake rasimi..ambapo kupitia waziri mhe. B.membe.. Alipokuwa akijibu swali la mhe.
Mbunge hatibu said hadji.. Mbungeni.. Kuwa ni nin msimamo wa serikali na ina simama upande upi kuhusu kutambua ndoa za jinsia moja? Na hasa ukizingatia kuwa serikali yetu ni omba omba inakoomba ndiko kwenye usagaji na ushoga kwa sehem kubwa ndiko misaada itokako..
Vip endapo misaada itakuwa na sharit la kukubali ndoa za jinsia moja? Kuhusu ndoa za jinsia moja yaani kati ya jinsia2 za kike kufunga ndoa, au jinsia 2 za kiume kufungishwa ndoa.. Ambapo serikali imegoma kutambua ndoa hizo hasa ukizingatia maadili yetu na tamaduni za kitanzania na kiafrika kwa sehemu kubwa.. Haziruhusu na hazitambui uhalali wa ndoa hizo.. Na ndipo mhe.
Membe akaongeza kukazia kupitia sheria za mwaka 1971, za ndoa zinatambua ndoa za jinsia mbili tofauti .. Yaani kati ya mwanamke na mwanaume kama tufanyavyo! Na akakataa kata kata kusapot ushoga na usagaji.. AMBAPO AKASEMA KUWA WAMEJIPANGA KUJITEGEMEA NA KUSIMAMA THABITI KWA KUJIFUNGA MKANDA KUTOKUPEA MISAADA YENYE SHARITI HILO, NA AKASEMA KUWA HATA WAHISAM WANAJUA KUWA HATUTAK USHOGA NA WANAHESHIMU MAAMUZI YETU, SHERIA ZETU NA TAMADUNI ZETU NA MAADILI...
Binafsi NIKAFURAHI NA KUJIPONGEZA... NA KUWASHANGAA WATANZANIA MASHOGA NA WASAGAJI.. HAPA NCHINI NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU AWAALAANI.. MASHOGA NA WASAGAJI.. WAKOME POPOTE WALIPO.. WASHINDWEE... WAACHE.. NA KAMA KUNA MWANA JAAMIIFORUMS.. GREAT THINKER NI SHOGA AU MSAGAJI ALAANIWE NA TAFADHALI AACHE UCHAFU HUO,, EBO..O... ! AU WANA JAMII FORUMS MNASEMAJE?
MASHOGA NA WASAGAJI TUWA FUKUZE HUMU MJENGONI?