Bungeni Live: June 28, 2012

Huyo mtoto wa Mwinyi anajua mazingira wanayofanyia kazi na ndo maana akapanda mabegani mwa baba yake awe mwanasiasa...........! Hivyo nio posho inayoropoka sio akili yake hiyo.
Masikini akipata, MATAKOZ YAKEZ.......MBWATA.
 

A very poignant question from Tundu Lissu; Pinda says he has done his best na tatizo bado lipo; maana yake he has reached the apex of his capabilities na kwa hiyo anastahili "kurusha taulo ulingoni" badala ya kuadopt scare tactics na ujambazi.
 

Usilete tafsiri za hisia zako! .... Ina maana wewe ndiye uliyemskia peke yako wakati amabwatauka jana ile? Mwache yeye mwenyewe ataeleza alikuwa ana maana gani. Ndio ushauri wangu kwako tu.
 
Iko wapi utawala wa kidemokrasia unaojali haki na utu wa mwananchi?
Wanajeshi wetu mnayaona haya?

Hivi wanajeshi huwa wanachukua nchi mpaka ikifikia hali gani? Mkuu Mungi jana tumekutafuta lakini naona ulikuwa busy.
 
Hivi wanajeshi huwa wanachukua nchi mpaka ikifikia hali gani? Mkuu Mungi jana tumekutafuta lakini naona ulikuwa busy.

Bado upo Arusha? Niliambiwa na Mzee wa Rula but it was too late nilikuwa na appointment somewhere!
Kama bado upo tuwasiliane!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…