sintofahamu bungeni, kosa kubwa hii ni hatua ya juu. Tumeruka hatua ya msingi. Nguzo za katiba ni nini ? Haya yangeamuliwa kwanza hata kabla tume haijasonga mbele kwa rasimu ya pili. Turudi kwenye hatua tulioruka. Bunge lisitishwe twende kwenye kura ya maoni tunataka muundo gani wa nchi yetu.