View attachment 206172 hili neno ni tusi baya kabisa! Mtu mzima anapolitamka mbele ya hadhira ya vyombo vya habari inabidi achunguzwe akili yake
Ashki majununi ni ny.ege mshindo, inasikitisha mno kuona mwenyekiti wa kikao cha bunge jioni hii 'zungu' akilivumilia tusi hili