Bungeni kwa sasa hakuna upinzani

upumbav ni mzigo mzito, nadhani hata hao wanaowalipeni buku 7 nao ni mazuzu
 
naangalia bunge hapa duuuh lema hata kanuni za bunge ni shida anapita mbele ya spika kama anaenda sokoni kilombero
hivi huyu bwana yuko vizuri kichwani au anapuliza??

Kama Spika hakuona tatizo wewe kinakuuma nini??!!
 
tatizo la ACT Tanzania ni attention seekers wanatafuta upinzani na cdm mtandaoni hahahaha nendeni kijijini mkajenge chama jf haitawapa chochote buahahahahahahahahahahahaha niacheni nicheke mie mwana cdm hai.
 

Ni kweli kabisa mkuu bora chama chetu tunawategemea watu wawili babu na DJ akifa mmoja mwingine anabaki na chama kinasonga mbele.
 
Ni kweli kabisa mkuu bora chama chetu tunawategemea watu wawili babu na DJ akifa mmoja mwingine anabaki na chama kinasonga mbele.

Mkuu na wewe kwa kurusha mawe,angalia usije ukaua.
 
Unataka kuanzisha malumbano yasiyo na tija kupima temper za watu bure!

Ni mtizamo tu unaosumbua watu, unawezaje kusema tangu Zitto atoke bungeni wachangiaji upande wa upinzani hawana hoja. Kuna wabunge kama Kafulila, Mnyika, Machari, Mkosamali, Wenje Gekul. Pareso, Buruhani, na wengine wengi hata wale wa kutoka Zanzibar wote hao hawana hoja, hayo sasa matusi na kwamba tunahitaji kuwa na akili ya mbayuwayu: akili ya kuambiwa changanya na yako, akili ya mtoa post peke yake haitatufikisha popote.
 


Kwa maneno machache ni kwamba mleta maada ana maanisha kwamba Mr Kabwe ndiye alikuwa amebeba jukwaa lote la wabunge kutoka upinzani na kwamba kutokuwepo kwake ni kwamba hakuna upinzani, aidha dhamira yake kuu ni kwamba huyu bwana aombwe arudi Bungeni ili kuleta anachoita hamasa!
 

Toka asubuhi jukwaa la siasa naona sahizi kuna hoja ya msingi hapa... Mtu amekuwa ndo Chama na sio wanachama!! Watu wengine sijui wanafikiria kutumia matako..... Safi mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…