>> kwa staili hii ya wabunge wa ccm kushabikia na kupiga makofi kwa kila hoja ya kijinga nakuambia kuna siku atakuja mzungu na wakati atapopewa nafasi na spika kuwasalimia....anaweza mfano kusema ....all tanzanian members of parliament especially ccm a fulish !......si ajabu utaona wanapiga makofi kwa furaha sana
Unatumia takwimu zipi, acha uzushi
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua hata Kirefu cha neno SADC anagombea nini sasa,,,
Mwingine anagombea kitu hajui hata kilianza mwaka gani jamani Hawa wabunge wa CCM vipi? mbona wanahaibika kiumee?
Wanashindwa kusema hata this wanasema zis hahahahahahahahah hapo ndo hoooi
Sasa Mnyika na Lisu walianza juzi na jana, Mbowe na Kabwe wanawavutia kasi wakati Mtoto Mdee akishusha pumzi,, Lussu ambaye iliwahi kusikika Kikwete akisema kwa mdomo wake kuwa "" NI HERI SLAA AWE RAISI KULIKO LISSU KUWA MMBUNGE""
kwa kauli hii inaonesha Hata wanaCCM wanajua jasho lazima litaatoka Safali hii,,
Nakupa sana Big up Li suu,, fanya kazi tulio kutuma kaka
Peeeeeeeooooopleeeee.........................
c.r.a.punatumia takwimu zipi, acha uzushi
>> kwa staili hii ya wabunge wa ccm kushabikia na kupiga makofi kwa kila hoja ya kijinga nakuambia kuna siku atakuja mzungu na wakati atapopewa nafasi na spika kuwasalimia....anaweza mfano kusema ....all tanzanian members of parliament especially ccm a fulish !......si ajabu utaona wanapiga makofi kwa furaha sana
hahahahaaaa! hiyo safi sana.hahahahahaha thats Strange,, CCM mosquitomosquitomosquito hahahahahaha namaanisha Mbumbumbu
God cares. Nakuhakikishia umoja ktk dhambi ni kaburi. Umoja katika haki ni UHURU. Kama watu watapingwa kwasababu ni chama fulani bila kujali wanawakilisha watu wenye chama na wasiona chama, ni dhambi. Kama ndivyo, Anguko la watendao hayo litakuwa ni gharika ya karne....
Katika haki, no negotiation. Naamini wapo wana CCM waipendao nchi yao bado wanavuta pumzi, kama mzee 6 na Dr. wa Kyela
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?
Kama Tundu anafahamu vyema kuhusu Sadc,kwanini hakugombea yeye?
Mkumbusheni Bwana Lisu kwamba Singida wanataka maendeleo. Kwenda kujitafutia cheap popularity TBC1 Kwa kuuliza "gotcha questions" sio ishu wala nini.
Ushauri wa bure.
Kwa uchambuzi wa wa harakaharaka naweza kusema wabunge wa ccm 82% hawajui hata kilichowapeleka bungeni. 18% wamefata ufisadi wa mali za watanzania. Nadhani ccm ni kapu la mabumbumbu ambao elimu wanayoijua ni kupiga makofi. sasa sheria hutungwa kwa kiingereza, hawa jamaa watajua kilichoko ndani au watashangilia hata kama sheria yenyewe ni ya kuwaua. ni kama alivyosema mwalimu kuwa unadanganywa kwa kupewa kipande cha chupa badala ya almasi halafu unashangilia kama zuzu.