PastorPetro
Senior Member
- Feb 25, 2008
- 189
- 37
Wana JF, nimesikitika sana kusika habari ya kifo cha Mbunge wa Chambani Pemba, Mh. Salim Hemed Khamis. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi. Amin.
Kwa kweli nimeshutuka kuona picha ya Mh. akibebwa na wenzake, kicha huko, miguu kule. Pia nimesoma habari katika gazeti la Nipashe kuhusu jinsi wabunge wenzake walivyojaribu kumhudumia alipopatwa na matatizo, eti walimpepea. Jamani, hivi Bunge la Tanzania haina watu wa First Aid ambao wanakaa pale wakati wa mikutano? Hakuna Ambulance? Mwaka 2013, kuna watu walipitia kozi Red Cross, wange saidia! Yaani kubebwa vibaya inaweza kuzidisha ugonjwa au kufanya hali iwe mbaya zaidi.
Serikali inawanunulia magari ya fahari ya bei mbaya! Je, itakuwa shilingi ngapi kuweka watu wa First Aid Bungeni? :A S 39: