Hapana mkuu ambao ni hamnazo ni wale wanaokiuka utaratibu mzuri uliowekwa na bunge wa kufuata kanuni. Godbless anathibitisha kuwa vijana wako bold na hawaogopi kusema ukweli. Mtu unapindisha kanuni halafu ikubalike!!! Hakuna NGUMI tu ndipo watafuata utaratibu!!!!!!!!!!!!! Mtu akipewa mamlaka sio kwamba afanye anachotaka aongoze kwa kufuata kanuni zilizowekwa na bunge sio zake. Kwani bunge lake hilo?Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Tena akaongeza na kusema "tunafanya mambo ya kipumbavu" na kwa ujumla ndio kilichokua kinafanyika, maana watu walikua wanabishana hovyo hovyo tu
Bila ngumi CCM hawawezi kuelewa.Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.
NADHANI tutafika tunapotarajia ikiwa hata wasomi wetu na Maprofessor wamekua mabubu na ni very BIAS when it comes to sensitive issues that needs special clarifications from various stake holders especialy those Profs...which to my opinions they dont provide constructive ideas and views even for the SIMPLE and academical matters....its embarassing that WE ALL STUPID EXCEPT CHADEMA na DR SLAA ..A CARRIER CRITICS this is very bad.....whatever its been said By those wavuta tumbaku the fact ni chadema hatujipi muda kutafakari, ni hatari tusiwe hivi nadhani tunaheshimika sana Tanzania na wasomi mliosoma sisi wengine ni wababaishaji tu...kwahiyo tusiwaache Mr 2 na WENJE tumbaku na LEMA nchi hii...
SIO lazima ukubaliene na mimi
Kingine ni kwamba tulitegemea ROSTAM na LOWASSA kuanzisha mashambulizi zidi ya Kikwete ila hofu yangu yangu kwanini baada ya hatma yao kua ktk kuti kaavu ndio waanze kumjumuisha kikkwete mbona siku zote hawakuandika.....
sisi kama wananchi ROHO ZETU nyeupe FANYENI biashara zenu siasa wawachieni wengine............tumewachoka.....YOU CAN NOT HAVE US ALL