Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Lema ameonyesha njia na wengine tutafuata, kilichobaki ni kuzichapa maana mmezidi kuwaburuza nanchi na wapenda maendeleo.Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
jana mh. Godbless lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli chadema ni hamnazo!
Lema ameonyesha njia na wengine tutafuata, kilichobaki ni kuzichapa maana mmezidi kuwaburuza nanchi na wapenda maendeleo.
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!
Bado najitahidi kujizuia kuelezea mtazamo wangu kuhusu kilichotokea jana!!
In the mean time, ngoja niwe msomaji zaidi wa mitizamo ya wengine.
ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.