MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Kumekuwa na tatizo kwenye kurusha matangazo kutoka Bunge TV kila wapinzani wanapowasilisha hoja.
Ilianzia kwenye kutoa mchango wake Halima Mdee,.matangazo yakakatika tukashindwa kuona na kusikia hoja za Mdee, leo tena baada ya waziri wa fedha na mwenyekiti wa kamati ya bajeti kumaliza kusoma maoni yao wakati tukisubiri maoni ya upinzani, matangazo ya Bunge TV yakakata.
Mara nyingine hoja za upinzani zinaijenga serikali hasa wanapojaribu kupindisha mambo, hivyo Bunge TV kama sio sababu za kiufundi tupeni muda wa kuwasikiliza na kuwaona wapinzani pia.