Bunge na dhana ya kioo cha jamii

Bunge na dhana ya kioo cha jamii

Django

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
354
Reaction score
147
Hawa wabunge watajivunia nini kwa wajukuu zao kama bungeni ndio kumegeuka kijiwe cha matusi. Wanafunzi wakiandika matusi kwenye mitihani tunalaumu na hili wa wabunge tufanyenini
 

Attachments

  • BUNGE LA SIKU HIZI.jpg
    BUNGE LA SIKU HIZI.jpg
    7.7 KB · Views: 143
Namkosa sana Hayati Mhe. Tuntemeke Sanga na Mhe. Semindu Pawa.
 
Hapo ndipo unaona jamii yetu ilivyo kwenye hali mbaya kupita kiasi, kama hawa wanaojiita na kutaka kuitwa waheshimiwa wamekuwa watu wa ovyo namna hii katika mazungumzo na matendo tena mbele ya vyombo vya habari kama TV, Radio na wandishi wa habari nk, je wanapokuwa mbali na coverage ya media inakuwaje.

Hapo ndipo inafikia hatua unashindwa hata kuwalaaumu wanafunzi wetu walioandika matusi, kuchora picha, kuandika verse za mziki kwenye mtihani maana na wao wanatoka kwenye jamii hii ambayo iko hoi kimaadili na mbaya zaidi wengi wao wanatoka kwenye jamii ya walalahoi ambao sio waheshimiwa, jamii ya wazalauliwa.

Kazi tunayo, tunalazimika kwenda kufundisha hao wanaojiita waheshiwa jinsi ya kuongea na kama hawataki basi wabadili jina wajiite jina tofauti na hilo, maana haiwezekani jamii kubwa inawakilishwa na watu wahuni kwa kiwango hicho tunachokiona kila siku kule bungeni.
 
kama wabunge hivi je watoto wetu wanaomaliza kidato cha nne itakuwaje.....?......yani mwaka huu wasije wakawa wengi watakaoandika matusi.
 
Back
Top Bottom