kingfish
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 571
- 159
Content: BUNGE MODERN TAARAB inawakaribisha mashabiki wake kwenye uzinduzi wa albam yao mpya kabisa iliyobeba nyimbo za mipasho:-
1.Mkuki kwa nguruwe... (Spika Anna Makinda).
2.Mimba zisizotarajiwa....(Livingstone Lusinde)
3.Siongei na mbwa..........(Juma Nkamia)
4.Common ---- you..........(Peter Serukamba)
5.Toka nje.......................(Job Ndugai)
Wahi mapema katika uzinduzi wa album hiyo na nunua nakala halisi ili kuinua maisha ya wasanii wetu.