Bunge linavuja

hao wangekaa kabisa nje wanyeshewe na nvua. 50 years wanapisha miswada na mpaka leo mimi ni masikini wakutupwa.
 
hili ni bunge la kisasa ......

msimlaumu mchina jamani alielezwa tatizo la wabunge wetu kupiga mbonji hasa nyakati za mvua akaamua kuja na ubunifu kabambe!cha msingi kwenye ile list ya emergence equipments waongezee na LIFE JACKETS,NGALAWA na pia wajenge emergence exits sehemu za juu ukutani au kwenye paa kabisa kule in case maji yakiongezeka kina!tuwajali wazee wetu jamani.
 
Kwani ndoo na mapipa hayapo? Wakinge maji ya mvua wayatumie kuflush vyoo n.k./itapunguza gharama
 
si wanawaamini wachina zaidi ya watz wazalendo..wakome
Utasikia TBCCM na kibwagizo chao... Udumu uhusiano kati ya China na Tanzania kumbe ndo inakula kwetu kwa kujengewa bunge feki, ving'amuzi feki na majengo feki ya UDOM.... haki ya nani Wachina ni janga la kitaifa kwa nchi yetu
 
sitashangaa siku nikiwaona makamanda wangu,mbowe,zitto,mnyika,lisu, na lema,wakiingia bungeni na miamvuli,hii nchi ishauzwa hii,haraafu mnataka 2015 tuwabakishe madarakani?nani kasema??nguvu ya umma inawasubiri kwa hamu 2015.
 
Utasikia TBCCM na kibwagizo chao... Udumu uhusiano kati ya China na Tanzania kumbe ndo inakula kwetu kwa kujengewa bunge feki, ving'amuzi feki na majengo feki ya UDOM.... haki ya nani Wachina ni janga la kitaifa kwa nchi yetu

hahahaha!nimeipenda mkuu
 
Grrrr!!
Mimi nilidhani unatuambia kuwa baada ya wabunge wa upinzani kutoka nje kumpinga Kawambwa, waliobaki ndani wamebokewa na jengo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…