sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,685
- 1,111
Baadhi ya mawaziri wagomea bunge kuijadili hoja ya usalama,kwao kutekwa mpaka ziguswe familia zao,hapo ndipo mashaka yanapoingia kuwa serikali ipo kwa ajili ya maslahi ya nani,ikiwa hawataki kuona bunge likijadili usalama wa taifa.
Speaker/naibu speaker ni kiongozi wa bunge akiwa kabeba dhamana ya uwakilishi wa wananchi anapotumika kuzuia mijadala yenye maslahi ya wananchi tumueleweje,hivi bunge letu linaendeshwa kwa matakwa ya serikali au wananchi.
Tanzania ni zaidi ya vyama vya siasa,wanachama wa vyama hivi nao ni Watanzania pia wana haki sawa mbele ya katiba,kuwanyongea haki yao juu ya maisha yao kunawaondolea uzalendo wakuipenda nchi. Speaker ana ulinzi,sisi hatuna ulinzi kwa kuwa walinzi wetu wa amani wametugeuka.
Tukiendelea kukumbatia uovu amani itatoweka,yanayo tamalaki leo yanazidi yaliyokuwa Tunisia na wananchi tumetulia,lakini ikumbukwe kuwa uvumilivu una kikomo,tukichoka mateso haya to that extent nasi tutasimama kama Afrika kusini,tunalia tunaomba msikie kilio chetu.