Bunge limuwajibishe Makonda na wanaombeba

Bunge limuwajibishe Makonda na wanaombeba

Wewe vipi unamaanisha anayemsaidia nae achukuliwe hatua?

Hivi wamjua vizuri yule jamaa?
 
Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.

Undeni kamati teule kumchunguza bashite Na pia wanaomlinda.

hadidu Za rejea

kulidharau bunge

ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?

uvamizi cloud media

kisha vyeti feki.

kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.

bunge lichukue jukum kwa niaba yetu.

km bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini km ni umbea Na uzushi asafishwe.

iundwe kamati huru.

cc Zito kabwe
cc John mnyika
cc Hussein bashe
cc msukuma
cc kingu
cc speaker.

umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
Hii kimantiki ni ok kabisa mkuu!Ila sidhani kama spika atafanya hii kitu ambayo ni potentially 'head-on collision' na rais!
 
Miongoni mwa wabunge kungekuwa hakuna wauza ngada ama marafiki washiriki wa wauza ngada ingekuwa raisi wabunge kuchukua hatua unazotaman iwe lakin ndo basiii tena wacha wakina Ney watusemee.
 
Hata mimi nitashangaa kama bunge litakaa kimya katika hili!
Kama Serikali haitaki kumwajibisha mtu aliyekosa sifa, basi bunge halina budi kuiwajibisha serikali!
 
Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
Tutajengaje nchi wakati wengine walikuwa ña vyeti feki walifukuzwa kazi ña wengine wameachwa haki itendeke ndio mambo mengine yafuate
 
mkuu sijui kama unajielewa bunge ni oversight ya serikali, hii ndio watchdog akikosea mbwa anamngata anakaa kwenye mstari,km unatumbo la kuhara Bora kwanza ukaharishe ndio ushike simu
unajua maana ya oversight au unaitamka tu. mkiambiwa tupate elimu kiswshili ndio nyie kimbelembele hamtaki. nakuuliza tena tangu lini bunge kupanga wakuu wa mikoa...jinga tena (usihamaki ni mzaha tu)
 
Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.

Undeni kamati teule kumchunguza bashite na pia wanaomlinda.

Hadidu Za rejea

Kulidharau bunge

Ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?

Uvamizi cloud media

Kisha vyeti feki.

Kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.

Bunge lichukue jukumu kwa niaba yetu.

Kama Bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini kama ni umbea na uzushi asafishwe.

Iundwe kamati huru.

cc Zito Kabwe
cc John Mnyika
cc Hussein Bashe
cc Msukuma
cc Kingu
cc Speaker.

umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
Bunge lilishang'o lewa meno yote. Halina uwezo huo mkuu. Halafu usijiweke kama sehemu ya Bunge kuteua na wanakamati wa hiyo tume uliyopendekeza, utakuwa unaongozwa na hisia zaidi mkuu
 
Hapo ndio tutawapima kama wako kwa ajili ya matumbo yao au wananchi! Tunawavumilia sana hawa...
 
Bunge ndio sisi wananchi,tendeni haki kwa niaba yetu.

Undeni kamati teule kumchunguza bashite na pia wanaomlinda.

Hadidu Za rejea

Kulidharau bunge

Ushiriakiano wake Na wauza ngada ukoje?

Uvamizi cloud media

Kisha vyeti feki.

Kwakuwa serikali imekwisha chukua upande hatuezi PT matokeo tofauti.

Bunge lichukue jukumu kwa niaba yetu.

Kama Bashite akikutwa Na tatizo atumbuliwe, lakini kama ni umbea na uzushi asafishwe.

Iundwe kamati huru.

cc Zito Kabwe
cc John Mnyika
cc Hussein Bashe
cc Msukuma
cc Kingu
cc Speaker.

umoja ni Nguvu utengano ni udhaifu.
We nani kasema? hiyo kamati yako kwanza imeegemea upande mmoja
 
Peleka mahakamani ushahidi wa hayo yote unayomtuhumu nayo Makonda vinginevyo tuache ushabiki kama tumeamua kufanya kazi za kujenga nchi.
Bunge ndo linafaa.
Lilimpiga Waziri Mkuu Lowassa, Liliwapiga mawaziri na mwanasheria mkuu wa Escrow.

Tunataka bunge kwa sababu lina nguvu ya kumfukunyua asiyejaribiwa na kumfanya afate katiba.
 
Back
Top Bottom