Bunge letu ni "rubber-stamp", ni watu walewale (wenye uchu wa madaraka na tamaa ya mali) na kwahiyo kupitisha bajeti ni "by default"! Hata kama Mh Mkullo angesimama bungeni kabla ya kutoa hotuba yake na kuuliza "wangapi wameafiki", wabunge wote wangenyoosha mikono na kupitisha bajeti "blindly"...
IPO SIKU!!!