kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,547
Kama namuona yule bibi kidude wa mjengoni anavyolipelekaga bunge kama kikao cha sendoff safari hii wabunge hawatakua na chama.....kazi anayo aise
Siwezi kuzungumzia maji na Afya maana siyo vipau mbele vyenu tena.Kwa sasa ni kuweka wapinzani ndani na kesi ambazo mnajua kabisa hamuwezi shinda,na kumtetea Bashite maanake hamuoni wala hamsikii.Umeyaona hayo mawili tu.Yaani nilidhani unaongelea mambo ya muhimu Kama huduma za maji, elimu, afya,umeme, miundo mbinu na huduma nyingine za kiutu Kama ulimchagua Mbunge wako kwa ajili ya kuja kushindana na Rais rudi nyuma kajipange upya manake hapa umepotea njia.