lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Bunge likianza kutakuwa raha sana ngoma itakuwa ni kati ya UKAWA na CCM.Sipata picha kikosi kazi cha wabunge wa ukawa wakianza kupanga hoja zao nzito nzito CCM watajibu nini,itabidi waanze kujipanga mapema sana la sivyo ukawa watapata mafanikio mengi sana kuelekea uchaguzi mkuu mwa 2020.
Last edited by a moderator: