Bunge lijalo ni full skendo za ngono...


Hiki si ndiyo kile chama cha wakulima na wafanyakazi????? Mbona hakuna viti maalum kwa Wakulima? au taarifa yako siyo sahihi naomba unizuje tafadhali.
 
Ni nyie ndio mtalipa hiyo mishahara na bonus za mamilioni bila kusahau mashangingi mapya na za vikao maalum,vipi bongofleva nao nasikia wana kiti kimoja kwa kazi nzuri wanayofanya...kazi ipo:confused2:
 
wabunge 100 wa kuteuliwa??? hii naona inapoteza maana nzima ya demokrasi na uchaguzi,inasikitisha zaidi ukiangalia hawa wabunge wa kuteuliwa wanachofanya na faida zake na jinsi wanavyolitia gharama Taifa,wabunge landcrusiser 100 mpya ongeza na millios of salary,bonus,safari etc nina uhakika ukiangalia hard numbers(money) kwa miaka mitano wanayowakilisha inaweza kufika trillion...naomba anayejua mishahara na malipo yote tunayowalipa awekehapa tuangalia wanatucost ngapi labda watu wanaweza kuelewa hii hasara ya wabunge wa kuteuliwa....
 

hapo kwenye RED umenikuna mkuu.............nashangaa kuwa hao wanawake wanaochaguliwa kwa nafasi za upendeleo hawapigii kelele hili kuwa ni sawa na kudhalilishwa.
tunataka wanwake wenye uwezo wa kushindana na mwanamme bungeni na sehemu nyengine sio apewe tu nafasi kwa kuwa kazaliwa mwanamke.


wanawake hebu tuamke ...............vitu vyengine aibu. kama huwezi kushindana na mwanamme jimboni means huna uwezo wa kutuwakilisha. kaa nyumbani usende bungeni
 
Haina tatizo wabunge kuwa vijana ila nadhani experience zao ndo zinatutia wasiwasi...Zitto aliingia bungeni akiwa kijana ila alikuwa na experience ya kutosha tu na tumejionea aliyoaccomplish, the same kwa Halima Mdee.
 
some one please help!

hivi kundi la KAPU huwa ni lipi, linamaanisha nini, linamwakilisha nani, na wanapatikanaje? manake nimeona wapo takriban 18 katika wale 100 wa CCM peke yake?
 

tehe tehe. Viti maalum kwa watu maalum. Baada ya maswalina majibu lazima waheshimiwa sana wapate mapoozeo. Hivyo ni viburudisho vyao.
 
Hivi hiyo miskandali imeaanza au bado wanabofyana tu...................................
 
Nashauri wabunge vijana wa Chadema wawafanyizie/wawashone wabunge warembo wa magamba (viti maalumu) coz wapo pasipo kazi bungeni!
 
imekula kwenu hiyo wabunge wanawake wa ccm wana uwezo na wana hoja kali mfano halisi ni easter bulaya.me namkubali sana na wengineo wengi tu.
 
kuna baadhi ya nchi kuwa mbunge lazima uwe na umri wa zaidi ya miaka 30.

pia wameweka vikwazo vyengine vingi............kama uwe hujawahi kuhusika na scandal hasa za ngono. kwetu hamna sheria hizo?

kwa hilo watazushiwa wengi.. ili mradi wasiingie mjengoni, kama wabisha rejea ile ishu ya mrema na ile dk slaa iliyokuwa juu wakati anagombea, baada ya uchaguzi imeisha
 
Napinga hoja viti maalumu bado ni muhimu sana kwa demokrasia za nchii hii ambayo imekuwa ikitawaliwa na mfumo dume tangu uhuru. Isipokuwa nafikiri tungejadili ni vigezo gani vitumike kuwapata hawa wabunge na majukumu yao ndani na nje ya bunge yawekwe wazi. Tanzania tumepata sifa nzuri sana barani Afrika na kwingineko kwa mliganyo wa wanawake na wanaume bungeni.

Jamani tusiwaonee wivu waacheni walio baatika wale hii keki ya taifa. Kwani hata ivo majukumu yao ni mazito sana. Je wewe upo tayari kuongelewa sikioni??
 
<a href="http://3.bp.blogspot.com/_Ahce4J-nOBk/TU_mrtlTGII/AAAAAAAAARA/eOhLmvoaMgI/s1600/fullstory.jpg" target="_blank"><img src="http://3.bp.blogspot.com/_Ahce4J-nOBk/TU_mrtlTGII/AAAAAAAAARA/eOhLmvoaMgI/s320/fullstory.jpg" border="0" alt="" /></a>
<br />
<br />
Kilichobaki ni wabunge vijana wa CDM wachapakazi kuanza kuwafanyia kweli wale viti maalum wa CCM, kwa mwendo huo lazima wawaunge hoja wapinzani katika miswaada yao teh teh teh!
 
Sio vijana tu peke yao ndugu,hata watu wazima wapo wanaofanya hayo mambo bungeni sio vijana peke yao.
Kwa dunia ya sasa hivi hayo mambo yapo kwa kila umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…