Sitaacha kusema na narudia hata kama watu hawapendi.Nchi hii imetekwa na Freemasons.Kwa anayejua atakubaliana na mimi kwamba hata bunge letu architectural design yake ni masonic.Sasa kama hali ndiyo hiyo wanao-think straight utawapata wapi.I pity Tanzanians.Kwa wale ambao bado wana the slightest degree or morality,matumbo tatauma.Freemasons wenyewe wana-admit kwamba by character most Tanzanians are masonic.And you know what being masonic in character means,evil.If that is the situation what do you expect,ni ngono mwendo mdundo tu bungeni.
Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
by nature optimistic kind of person.........
Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....
Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......
I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
vyuo ........ukichanganya na viti maalum........
Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........
Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......
Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....
Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........
Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
wawe wabunge wa viti maalum?????
Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni
wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????
I am more than dissapointed na hii nchi..........
Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????