Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

Naendelea kusema kuwa Tanzania kila kitu kinawezekana na vitu vingine inabidi ujitoe ufahamu ili uvielewe,hebu tuangalie jinsi wasomi wanavyoforce madaraka ya kisiasa,Subiri wanyooshane tu kwa sababu hata vyeo wanapeana kama zawadi.
 
Tatizo ni umri,mwanamke au magazeti ya udaku???? Kama ni umri Nassari aliweza y not her?? Au kisa Nassari ni mkaka?? Siappruv viti maalum ila kwa sababu vpo let's wait and c tusimjudge mapema! Na kuhs magazeti ya udaku tumeyataka wenyw kwa kupiga siasa chafu na za matusi! Hvi unategemea magazeti ya udaku yataheshimu wanasiasa wadaku??? Kuna tofauti gani kati ya wema na kibajaji ukitoa jinsia???
 
Nakupa pole maana hujui uandikalo

Ahh nenda huko, mwenye kupewa pole wewe hapo.
Toka lini ukampa mtoto wa miaka minane aongoze ati kisa kwenye biblia alikuwepo aliyefanya the same thing. Wewe utalinganisha watu wa kwenye biblia wa miaka hiyo na leo?
Pole sana mtanzania, we ndo hujui uandikalo
 
Asante Mtanzania
 
Sifa ya kuwa mwanasiasa nambari one ni ngono na nambari mbili ni ufisadi na ukiyajumlisha hayo yote ni mtumwa wa dhambi.
 
Wanawake pia wangeona aibu wasichague mwanamke atakayewaletea aibu kwa matendo ya hovyo awe kijana ama mama mtu mzima; aibu itawapata wao wote
 
Back
Top Bottom