Bunge lijalo ni full skendo za ngono... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge lijalo ni full skendo za ngono...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Aug 18, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Sipendi kuwa pessimistic lakini siasa za nchi hii
  unajikuta mtu unakuwa pessimistic hata kama ulizaliwa
  by nature optimistic kind of person.........

  Nimetazama hao wabunge watarajiwa nikakosa cha kusema....

  Ni kama miss tanzania imehamia kwenye bunge.......

  I mean hilo kundi la vijana,na kundi la kapu sijui na kundi la
  vyuo ........ukichanganya na viti maalum........

  Mmoja wa hao wabunge watarajiwa anaitwa catherine magige
  tayari leo hii ameshaanza andikwa na magazeti ya udaku........

  Nilisema na narudia kusema hivi viti maalum tuvipige vita mpaka vifutwe.......

  Kwa kweli magazeti ya udaku yatahamia dodoma.....

  Na hilo bunge skendo za ngono zitakuwa ni kila siku........

  Hivi kuna haja kweli ya kuwa na wasichana umri wa miaka 21-25
  wawe wabunge wa viti maalum?????

  Wengine bado wa anaishi na wazazi wao halafu waende bungeni

  wawe waheshimiwa....wanamwakilisha nani??????????


  I am more than dissapointed na hii nchi..........

  Hivi wenye kufikiri straight hakuna kabisa?????????????
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Viti maalumu kwa watu maalumu!
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo, hivyo viti maalumu sioni umuhimu wake!!!

  Wanatengeneza chakachua watakapokuwa huko........
  Kwenye utukufu wa wizi....:becky:
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wabunge ndio hawa


  [​IMG]
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kuna baadhi ya nchi kuwa mbunge lazima uwe na umri wa zaidi ya miaka 30.

  pia wameweka vikwazo vyengine vingi............kama uwe hujawahi kuhusika na scandal hasa za ngono. kwetu hamna sheria hizo?
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kwa kweli inasikitisha, am also vry dissapointed sina tu cha kufanya kwa kweli
   
 7. p

  pori Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani aliyeanzisha topic hii kama alikuwepo kwenye mawazo yangu. viti maalum lukuki bungeni vya nini? mbona bunge hili limejaa sana vitoto vidogo? take it from me, percentage kubwa kule wanafuata mambo tofauti na ya ubunge, kule wanaona ndio mahali pekee pa kujulikana na kujipitisha pitisha kwa watu. mengi tutayasikia katika wakati huu wa utandawazi. siri hakuna siku hizi jamani, msijidanganye.
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  jamani viti maalu ni hongo na kuongeza idadi ya wabunge wa ndiyo mzee,
  si unajua tena!!!
   
 9. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini AC alikuwa na umri mdogo lakini niliupenda ubaya wake....hakuwa mwoga katika kusimamia anachoamini...alikuwa mwanasiasa mahiri jamani nikimlinganisha na mimama mizee iliyopo....ina kazi ya kuzuia vijaana wadogo wasijenge hoja za msingi! sijui zaidi maisha ya AC ya bungeni yalikuwaje anyway...cha msingi kama yalileta impact katika majukumu yake kama mbunge
  binafsi sioni uhusiano kati ya wabunge vijana na ngono bahati nzuri mwandishi wa thread hii ameiona...mie sielewi jamani tulipo kuwa na wabunge wazee wanasinzia na tukaambiwa vijana taifa la kesho tulikataa kwa nguvu zoote..sasa vijana wanaingia bungeni tena tunakataaa tunawahusisha nia ngono
  I gesi wangekuwa wanaingia wabunge wanaume vijana hili lisingesemwa hata kama wangeenda kufanya ufuska...
  baadhi ya ya wanaJF tubadilike tunawachora na kuwa generolaizi wanawake wote kwa haiba mbaya sana ..umalaya..its not fair at all..ni kukoseana heshima
  mix with yours
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nafikiri viti maalum viondolewe kwani vinawadalilisha
   
 11. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tukiweka hicho kipengee, itabidi tuombe wafadhili watuletee wabunge toka nje kama msaada wa kihisani
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hilo panga la nini Kiongozi?
   
 13. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We still have option vote agaist ccm then wasipopata kura nyingi hao watu 100 waliowaandaa watabaki kuwa historia ya makamba kwenye file lake...............ccm inakera sana and stands agaist everything we believe as a country

  dont complain lets go back to work and make sure ur folks huko ushaagoooo understands the stakes are too high to bring back the same old rotten party!
   
 14. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mpambalyoto + Sasa tunataka mapinduzi!! =
   
 15. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mnawalaumu bure vijana wetu wa kike kwa kujaribu. Hata kama watafanya ngono si watafanya kwa afya yao? we unataka mtoto wa miaka 25 akienda bungeni asipate raha? Kwanza bunge la utakatifu mnaloliongelea ni hili la kwetu? niwatajie list ya wabunge wenu watu wazima wanaokulana wao kwa wao pale bungeni?

  Go girls!! We need bunge lenye vijana. Tunataka mbunge anayejua facebook na twitter ni nini. Bunge lazima liwe photogenic. bunge la vitenge na viremba vya kichwani linadumaza even our attitudes towards thinking. Lazima mtu uanze kuvaa Gucci, Sofia Loren na kwa ndani Victorias secret ili attitudes yako towards development iwe forward looking. Na hii change inaweza kuletwa na vijana.
   
 16. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lengo la viti maalum ni zuri tu kuwainua wanawake angalau kidogo wapate usawa na wanaume tena ni kwa vyama vyote ikitegemea uwakilishi wa majimbo kwa kila chama.pia kwa madiwani pia.
  nijuavyo CCM sasa wameshaweka utaratibu viti maalum mwisho miaka 5 then uende jimboni...hii itaanza rasmi 2015........nashauri hata wapinzani wangeliona hili....viti maalum visingekuwepo tusingekuwa na wabunge machachari wa upinzani wanawake kwani hakuna mpinzani wakike anaeshika jimbo kwa sasa.tungekosa mchango wa kina lucy owen,halima mdee,fatma magimbi etc..............nawapongeza wakina aisha kigoda,mwantumu mahiza na shemsa mwangunga,batilda burian na mariam kasembe ambao walikuwa viti maalum wakathubutu kusimama majimboni japo baadhi ya kura hazikutosha......kuhusu ngono ni tabia ya mtu tu....unaweza ukawa binti au bibi kizee!.....................hebu tuwashauri wanawake wa vyama vyote wajitokeze zaidi majimboni na viti maalum iwe miaka mitano tu
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  eeeh mungu wangu eh......
  Mungu ibariki tanzania........

  Kuvaaa gucci na victoria secrets ndio
  uweze kuwa na attitude towards development????????

  Nyerere akifufuka atakufa tena kwa mshtuko..............

  Sijawahi sikia pumba kama hii hapa jf.............
  Umevunja rekodi...............

  I feel like vomitting...................
   
 18. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  MCHANGANUA WA VITI MAALUM CCM NI KAMA HUU UFUATAO:

  viongozi wakuu uwt NAFASI 2..katibu na mwenyekiti wanaingia kwa nafasi zao.
  mikoa yote tz bara na visiwani mikoa 29 nafasi mbili kila mkoa....kazi yao kubwakuwakilisha na kuhakikisha wanainua wakina mama wenzao wengi tumeshaona michango yao kwa wanawake japo wengine ni wazembe..
  wasomi 3
  NGO 2
  walemavu 3
  wafanyakazi 2
  vijana wanawake 10
  kapu 20
  wadau bila hivi bunge litakuwa na wanaume karibu asilimia 90.....halitanoga....................miaka ya mbele huko wanawake wakiwazidi wanaume tutaomba pia viti maalum kwa kina baba...........ili tulete usawa...wanawake wanaweza wakiwezeshwa..wapewe nafasi.
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Eti wabunge wa kapu.......

  Yaani upuuzi mtupu.............
   
 20. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kauli siipendi kabisa....kila mwanadamu anaweza akiwezeshwa...sio wanawake tu....
  wanawake wanaweza wenyewe bila hatakuwezeshwa....tatizo linakuja pale ambapo mfumo umewapendelea sana wanaume ........ndio maana wakabuni viti vya wanawake
  mix with yours
   
Loading...