Bunge letu

Diason David

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,562
7,348
Tuliwambia humu mukawa munachekacha Leo kiko wapi sasa imefikia dakika 85 kipindi kuisha ndio wakati wananchi wanaenda kuchagua kati ya tabu na nafuu



Habari wanajamii ni kibwagizo moja ya maneno ya (mh) Joseph mbilinyi(sugu)
Wakuu naomba kufahamu huyo aliejirani wa mh sugu hapo nitashukuru kwa mchango wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulia anaitwa Jesca Kishoa,nyuma Silinde na pembeni yule mweupe anaitwa Japhari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…