Bunge letu:zamani viwango;sasa vijembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge letu:zamani viwango;sasa vijembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Apr 14, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kimsingi,nimelimiss sana Bunge la Tisa lililoongozwa na Samwel Sitta kwakuwa lilikuwa Bunge la viwango(mijadala motomoto kwa mustakbali wa Taifa letu).Hili la sasa limejaa vijembe na miongozo ya Spika.Wana JF,tatizo la Bunge letu la sasa la Kumi liko wapi?
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mambo ya taarabu hayo ... mipasho, vimini na kuendelea. Uwezo Annao Makinda!!!
   
 3. Quicklime

  Quicklime Senior Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bado kidogo watatwangana huku wananchi 2kiwatazama kwenye tv! Au ndo wanatoa yao ya moyoni?
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Mi natamani sana ndundi zitokee Bungeni.Baada ya hapo heshima itakuwepo
   
 5. K

  KWELIMT Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Choosen na bado utalimisss sana! nakumbuka bunge la kishsbiki wakati wa speaker Msekwa lilipitisha TAKRIMA waliokuwa wanapinga walionekana wapinzani leo hii iko wapi?ushabiki bungeni ni hatari kwa mustakabali wa taifa.
   
 6. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa ndio wakati mzuri kabisa wa bunge letu kukua, maana kila mmoja anafahamu nafasi yake! Wakishatwangana ndio bunge linakomaa na busara zinaanza kutumika. Hakuna tena kuheshimiana kwa umri kwani kila mmoja ni mwakilishi ila hii ina faida na hasara. Nitapita baadaye kufafanua
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Nikusubiri? Mvua Gamba unasubiriwa kwa hamu sana hapa kwa ufafanuzi
   
 8. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kila mbunge anatambua kuwa anawakilisha watu hivyo ana nguvu sawa. Huu si wakati wa kuwasikiliza akina Malecela ama akina Mzindakaya. Tena hata hao sisiemu wana makundi ambayo wao kwa wao wakitoa hoja za hovyo lazima wapeane shua na ikiwezekana baina yao kushabikia hoja za upinzani. Kama itaendelea hivi na kisha wakatwishana manundu jambo ambalo najua litaanzia nje ya kumbi za bunge basi ndio safari njema inaanza
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  endelea kufafanua mkuu....unavutia kihoja
   
 10. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zaidi ni kuwa uhasama huu ambao unaanzia kwenye hoja na pia baada ya kutambua kuwa wapo wanaonufaika na wasio nufaika1 Wasionufaika ni dhahiri watazungumzia mambo ya wananchi ili kutaka kushinda uchaguzi ujao na nadharia nzima ya kuvua gamba. Ngumi ni muhimu kwa mfano Membe anaanznisha kambi yake binafasi pale UDOM wakati wanaotaka kuwania urais 2015 wengine kutoka CCM nao wanazo zao. Juzi tumemuona Lema naye akianzisha kambi huko na zamani kulikuwa na ile ya Zitto. Inakuhitaji muda kutafakari hizi mbinu za kisayansi za kisiasa zinazolenga kukutanisha wanasiasa na makundi yao lakini wa vyama tofauti, mwisho I can tell watatwishana makonde nje ya bunge na hasira zao zitaingia bungeni kwenye hoja na humo watapeana makonde kwa kuwa spika hana uwezo wa kuwakutanisha nje ya bunge. Nitarejea tena
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  karibu tena mkuu
   
 12. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  keshaenda kubeba boksi huyo
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  wapi? kwani we unamjua?
   
Loading...