Ukijuwa maana ya bunge utagundua kwamba Tanzania hatuna bunge Bali tuna kanisa kubwa la kumsifia raisi na serikali Kwa ujumla bhasi.Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.
Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.
Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.
Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi na Kenya.
Wasikilizeni wa Kenya wanavyo tuchukulia .
wao lazima watulie....kwa sababu wao ndo wameingilia affair zetuKupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.
Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.
Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.
Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani kabla ya hapo kulikuwa na ugomvi na Kenya.
Wasikilizeni wa Kenya wanavyo tuchukulia .
Mmmhh eeMungu tupe uwezo!wao lazima watulie....kwa sababu wao ndo wameingilia affair zetu
Mmeambiwa ni Kanisa, siyo bungeKupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.