Bunge letu halina kanuni?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
18,580
23,053
Ndugu wanajamvi,
kidoogo hapa sijaelewa katika bunge letu tukufu ni nani ane mruhusu mbunge kusimama na kuongea na zile mic zinatakiwa kuwasha muda gani mbunge awapo pale kwenye kiti ,na nani anaetakiwa kuomba muongozo?mimi naona kila mmoja tu anasimama na kuzungumza je hakuna kanuni?
 
Bunge limejaa kejeli, dharau, vijembe km waimba taarabu bado lina utukufu? Au utukufu unauchuliaje
 
Back
Top Bottom