Bunge laweka historia

Mpita Njia

Platinum Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
6,999
Reaction score
1,189
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Tanzania, Mbunge ambaye ni mlemavu wa macho, Zuleikha Yunus Haji, amewasilisha taarifa ya ripoti ya kamati. Alikuwa anawasilisha ripoti ya kamati kuhusiana na kazi zilizofanywa na wizara ya maendeleo ya jamii na maoni ya kamati kuhusiana na bajeti ya wizara kwa mwaka huu wa fedha.
Amesiwa sana na Spika
 
bado hile historia waliyoweka duniani ndio kiboko zaidi.kama huijui historia gani ni hile "bunge lenye washiriki wanao sinzia kuliko lolote duniani".
 
Pamoja na matatizo yetu yote, pale kwenye milestone lazima tupasifie na hili ni mojawapo!!!

HONGERA BUNGE, HONGERA MBUNGE NA TUPAMBANE SASA TUWE NA MAWAZIRI KAMA YULE WA UINGEREZA ALIYEPITA

Na pia wabunge muwe serious sasa, dada mlemavu amewasilisha, je nyie mlio watoro mtajivunia kuwepo kwenye hili tukio la kihistoria??

DN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…