Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,699
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuu, kama Magufuli anataka kufanikiwa kwenye utawala wake, ni lazima akamate rungu la chama, vinginevyo atakwamishwa sana na hii midubwana iliyokamata chamaNadhani wakati umefika sasa Raisi Magufuli atakapokabidhiwa uenyekiti wa Chama afutilie mbali wafanyabiashara kuchukua nafasi za uongozi wa chama na kiwaengua kwenye mafasi za kugombea nafasi za udiwani na ubunge ili kutenga biashara na siasa. Mda wotewafanyabiashara wapatapo nafasi za uongozi wa umma ndo wanaitia nchi hasara kwakuwa mda wote hutafuta fursa za kibiashara na kuingiza serikali katika mikataba ya kiwanufaisha wao na hasara kwa taifa.