Nawaomba Mods watuache huru tuongee kwa mapana kuhusu hii hoja ya mh.wetu meya.hivi ilikuwaje hasa hadi afikie kutamka kitu kama hicho kwa wabunge???
hivi wangekuwa mbele yake kabla hajatamka hii si angeweza kumzaba mmoja kibao kibaya sana apo.
Nadhani wabunge wanaomuhoji wamuulize kama amewahi kupata ugonjwa wowote wa kichwa au maradhi ya akili na wakati anatamka hivyo alikuwa mzima au alionja kinywaji kikali akazidisha kidogo?