Bunge laahirishwa baada ya vipaza sauti kugoma

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,061
23,514
Haya Spika amelazimika kuahirisha bunge baada ya vipaza sauti vya wabunge wote Wa CCM
hadi kwa Spika kugoma kutoa sauti.

Mungu alivyo mwema vya wapinzani vinapiga mzigo kama kawaida, eti wanajichetua kwamba UKAWA wachawi wao yupo Zanzibar.
Yaani wamesahau wanayoyafanya gizani Mungu hapendi sasa wanalipwa!!
 
kwa hiyo mfumo wa sauti ni wa njia mbili upande wa ukawa na ccm kwa nini wasingeweka njia nyingi kutoka katika saver ikigoma hii mnatumia njia ingine tuu..wanashindwa kutatua tatizo la kusikilizana hapo tuu Bungeni harafu wanataka kupanga maisha ya miaka 50 mbele ya Watanzania...
 
Haya Spika amelazimika kuahirisha bunge baada ya vipaza sauti vya wabunge wote Wa CCM
hadi kwa Spika kugoma kutoa sauti.

Mungu alivyo mwema vya wapinzani vinapiga mzigo kama kawaida, eti wanajichetua kwamba UKAWA wachawi wao yupo Zanzibar.
Yaani wamesahau wanayoyafanya gizani Mungu hapendi sasa wanalipw
Hawana jipya
 
Vilipoanza tu kugoma nilimsikia spika Job Ndugai akisema vimerogwa. Nadhani Mungu kasikia kilio na dua za watanzania kutoonyeshwa bunge live.

Kaanza na vipaza sauti, tuendelee kuomba usiku na mchana vipaza sauti visifunguke na waking'ang'ania waongee kavu kavu wawe mabubu kila watakapokuwa wanaingia bungeni.
 
Wakuu..
Bora Vigome tuu Hakuna Lamaana wanalotusaidia..
Wao mipasho na kugonga meza wakishabikia ndio mtaala wao..
 
Haya Spika amelazimika kuahirisha bunge baada ya vipaza sauti vya wabunge wote Wa CCM
hadi kwa Spika kugoma kutoa sauti.

Mungu alivyo mwema vya wapinzani vinapiga mzigo kama kawaida, eti wanajichetua kwamba UKAWA wachawi wao yupo Zanzibar.
Yaani wamesahau wanayoyafanya gizani Mungu hapendi sasa wanalipwa!!
MAONGO HAYO YAMEZIMA YENYEWE
 
Siyo kugoma tu mi nasema hata kuungua vingeungua wangejua watu walivyo na kinyongo kuhusu bunge kuto onyesha live mmh hata siamaini kama vimegoma alafu hao wanosema wamerogwa si ndiyo wale wale ambao hawaamini uchawi?
 
Hatari hii...wamezima maksudi ili waende kwenye kikao cha faragha cha MACCM kujadili ujio wa mheshimiwa lowassa maana ni tishio kwa ccm.
 
Alivoumba mungu vinaugua na vinakufa sembuse vilivyotengenezwa na binaadamu vikose kasoro.!!!
 
siku vikigoma vya upinzani watasema wanahujumiwa
Nafikiri wenye matatizo ya kufikiri sawasawa wa nchi hii wapo chadema.
Hayo uliyosema sawa kabisa. Hivi karibuni mitambo ilikorofisha wakati meya wa Dar akiongea wakati wa ufunguzi wa daraja la Mwl Nyerere. Hawa viumbo humu jamvini ilikuwa ndiyo habari. Leo mmesikia wasemacho.Hata bavicha walitoa tamko dhidi ya Tbc1
 
Back
Top Bottom