Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,502
- 8,690
Hilo ndo bunge lenye mfano halisi wa bunge la UingerezaJamani hili jengo bunge la Uganda sijalielewa kabisa Utafikiri stafroom ya shule ya kataView attachment 989538View attachment 989539
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndio safi hata ndungai wa huko akileta za kuleta ni rahisi kumpa mabanzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo ndio safi hata ndungai wa huko akileta za kuleta ni rahisi kumpa mabanzi
Jamani hili jengo bunge la Uganda sijalielewa kabisa Utafikiri stafroom ya shule ya kataView attachment 989538View attachment 989539
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwaka walipigana humo, ilikuwa kituko!Hilo ndio safi hata ndungai wa huko akileta za kuleta ni rahisi kumpa mabanzi
hapo ngumi ni nje nje!Jamani hili jengo bunge la Uganda sijalielewa kabisa Utafikiri stafroom ya shule ya kataView attachment 989538View attachment 989539
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa 90s wanajua karimjee ni uwanja wa misiba!
The same as House of Commons ya UKMmezoea la kwenu watu wanabembea kwa kujinafasi. Angalia la Uingereza nalo, limezidi kidogo la Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app