Kaongea mineno miiingi, kamtaja Msukuma. Na inawezekana kwa chuki....yani ni zaidi ya wivu. Hatahivyo, labda anazo hesabu zake, mie ningependa kujua amefanya wapi tathmini hizo, na wapi kwenye World Ginesii sijui wameandika rekodi za mabunge kufanya kazi....na kama wana Msukuma huko!wivu tu
Vikoba tu mtaani wanakaa kila Wiki sembuse ya Bunge. Let's be seriousWeek moja
Vikoba vya akina mwajuma ndala ndefuVikoba tu mtaani wanakaa kila Wiki sembuse ya Bunge. Let's be serious
Sio kwamba impacts ni ndogo ,Hakuna kabisa....mimi naona wanaongeza ugumu wa maisha tu...tuongee tu ukweli miezi 3 mna jadiliana halafu baada ya hapo utekelezaji ni upigaji😀😀Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa mabunge yote ya Jumuia ya Madola, haoa nazungumzia kutumia miezi mitatu Dodoma watu wakijadiki bajeti.
Pia nimejaribu kufuatilia mabunge nje ya Jumuai ya Madola nako bado still Bunge la Tanzania linaongoza , bunge la bajeti hutuchukua miezi mitatu na zaidi watu wakiwa Dodoma wanajadili bajeti, hii ni record za Guiness World Book of record.
Cha ajabu impact ya aanacgo kijadili huwa ni ndogo sana kwenye jamii, zaidi ya wao kukunja pesa kila siku pale Dodoma.
Hakuna nchi yoyote hata zenye uchumia mkubwa ambapo Bunge lake hukaa vikao kwa nuda mrefu hivyo, na cha kusikitisha pale Dodoma wanacho fanya ni mijadala tu isio kuwa na nguvu yoyote, ni mijadala isio kuwa na maana na hakuna maazimio wanayo pitisha ili kwamba yafanyiwe kazi.
Wanacho fanya wakina Msukuma ni kulia lia pale Dododma waonekane wana mchango wa maana na mwisho wa siku hupitisha hizo bajeti kwa asilimia 100.
Kuna haja gani kutumia zaidi ya miezi mitatu kupitidha bajeti ya kila wizara na baadae tena aje kupotisha jumla yake?
🤣🤣Sio kwamba impacts ni ndogo ,Hakuna kabisa....mimi naona wanaongeza ugumu wa maisha tu...tuongee tu ukweli miezi 3 mna jadiliana halafu baada ya hapo utekelezaji ni upigaji😀😀
Kaka umeshindwa kutupa statistics. Usiweke porojo porojo. Weka data.Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa mabunge yote ya Jumuia ya Madola, haoa nazungumzia kutumia miezi mitatu Dodoma watu wakijadiki bajeti.
Pia nimejaribu kufuatilia mabunge nje ya Jumuai ya Madola nako bado still Bunge la Tanzania linaongoza , bunge la bajeti hutuchukua miezi mitatu na zaidi watu wakiwa Dodoma wanajadili bajeti, hii ni record za Guiness World Book of record.
Cha ajabu impact ya aanacgo kijadili huwa ni ndogo sana kwenye jamii, zaidi ya wao kukunja pesa kila siku pale Dodoma.
Hakuna nchi yoyote hata zenye uchumia mkubwa ambapo Bunge lake hukaa vikao kwa nuda mrefu hivyo, na cha kusikitisha pale Dodoma wanacho fanya ni mijadala tu isio kuwa na nguvu yoyote, ni mijadala isio kuwa na maana na hakuna maazimio wanayo pitisha ili kwamba yafanyiwe kazi.
Wanacho fanya wakina Msukuma ni kulia lia pale Dododma waonekane wana mchango wa maana na mwisho wa siku hupitisha hizo bajeti kwa asilimia 100.
Kuna haja gani kutumia zaidi ya miezi mitatu kupitidha bajeti ya kila wizara na baadae tena aje kupotisha jumla yake?
Hivi kweli ninyi ndio Great Thinkers wa JF? Yaani unaamdika tu bila ushahidi wowote halafu una upload nawe eti ni Great Thinker!!?Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa mabunge yote ya Jumuia ya Madola, haoa nazungumzia kutumia miezi mitatu Dodoma watu wakijadiki bajeti.
Pia nimejaribu kufuatilia mabunge nje ya Jumuai ya Madola nako bado still Bunge la Tanzania linaongoza , bunge la bajeti hutuchukua miezi mitatu na zaidi watu wakiwa Dodoma wanajadili bajeti, hii ni record za Guiness World Book of record.
Cha ajabu impact ya aanacgo kijadili huwa ni ndogo sana kwenye jamii, zaidi ya wao kukunja pesa kila siku pale Dodoma.
Hakuna nchi yoyote hata zenye uchumia mkubwa ambapo Bunge lake hukaa vikao kwa nuda mrefu hivyo, na cha kusikitisha pale Dodoma wanacho fanya ni mijadala tu isio kuwa na nguvu yoyote, ni mijadala isio kuwa na maana na hakuna maazimio wanayo pitisha ili kwamba yafanyiwe kazi.
Wanacho fanya wakina Msukuma ni kulia lia pale Dododma waonekane wana mchango wa maana na mwisho wa siku hupitisha hizo bajeti kwa asilimia 100.
Kuna haja gani kutumia zaidi ya miezi mitatu kupitidha bajeti ya kila wizara na baadae tena aje kupotisha jumla yake?
Hapo kuna haja ya kupata ushahidi kweli?? Mwenyewe si unajionea tu mijitu ipo mle bungeni kwa ajili ya kusifu tu ili kulinda matumbo yao. Kwanza uliona wapi bunge la chama kimoja? Hilo la kukaa muda mrefu haina haja ya utafiti ila tunataka tuone impacts, sasa baada ya kuona impacts tunashangaa tu vitu vinapanda bei, nauli zinapanda, misheria ya ajabu ajabu imepitishwa n.k...... Maisha ya wananchi yanakuwa magumu kupitiliza mpk watu wanakuwa na makasiriko na serikali na vitendo viovu kuongezeka kwenye jamii .....Hivi kweli ninyi ndio Great Thinkers wa JF? Yaani unaamdika tu bila ushahidi wowote halafu una upload nawe eti ni Great Thinker!!?
Binafsi nilitegemea utwambia, kwa mwaka Bunge la Kenya wanakaa muda gani? La Uganda. La India na hata la Uingereza lenyewe Ili tulinganishe. Mods, India hii kitu!!!
Unatuonea wivu tu tunakula posho. Hata wewe ungepata hii bahati usingekataa. Perdiem yetu 250,000 kwa siku na posho ya kakao 220,000 kwa siku jumla 470,000 kwa siku hapo hujaweka semina angalau 3 kwa wiki kila moja 300,000. Raha sana Kamanda.Nimeangalia juzi, kila sekunde unasikia "muheshimiwa spika" kila anaetaka kuongea anaanza kwa tumsifu rais.
Huu upuuzi siwezi kurudia kuangalia.
BUNGE KUKAA VIKAO KWA MUDA MREFU HAKUNA TOFAUTI NA UFISADI NA UPIGAJI TU, HILI NALO LIANGALIWE KWA UMAKINI MKUBWA.Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa mabunge yote ya Jumuia ya Madola, haoa nazungumzia kutumia miezi mitatu Dodoma watu wakijadiki bajeti.
Pia nimejaribu kufuatilia mabunge nje ya Jumuai ya Madola nako bado still Bunge la Tanzania linaongoza , bunge la bajeti hutuchukua miezi mitatu na zaidi watu wakiwa Dodoma wanajadili bajeti, hii ni record za Guiness World Book of record.
Cha ajabu impact ya aanacgo kijadili huwa ni ndogo sana kwenye jamii, zaidi ya wao kukunja pesa kila siku pale Dodoma.
Hakuna nchi yoyote hata zenye uchumia mkubwa ambapo Bunge lake hukaa vikao kwa nuda mrefu hivyo, na cha kusikitisha pale Dodoma wanacho fanya ni mijadala tu isio kuwa na nguvu yoyote, ni mijadala isio kuwa na maana na hakuna maazimio wanayo pitisha ili kwamba yafanyiwe kazi.
Wanacho fanya wakina Msukuma ni kulia lia pale Dododma waonekane wana mchango wa maana na mwisho wa siku hupitisha hizo bajeti kwa asilimia 100.
Kuna haja gani kutumia zaidi ya miezi mitatu kupitidha bajeti ya kila wizara na baadae tena aje kupotisha jumla yake?
Wewe mwigulu NchembaUnatuonea wivu tu tunakula posho. Hata wewe ungepata hii bahati usingekataa. Perdiem yetu 250,000 kwa siku na posho ya kakao 220,000 kwa siku jumla 470,000 kwa siku hapo hujaweka semina angalau 3 kwa wiki kila moja 300,000. Raha sana Kamanda.
Nambie Chalii angu.Wewe mwigulu Nchemba
Kumbe unaongelea hisia zako! Basi uko sahihi.Hapo kuna haja ya kupata ushahidi kweli?? Mwenyewe si unajionea tu mijitu ipo mle bungeni kwa ajili ya kusifu tu ili kulinda matumbo yao. Kwanza uliona wapi bunge la chama kimoja? Hilo la kukaa muda mrefu haina haja ya utafiti ila tunataka tuone impacts, sasa baada ya kuona impacts tunashangaa tu vitu vinapanda bei, nauli zinapanda, misheria ya ajabu ajabu imepitishwa n.k...... Maisha ya wananchi yanakuwa magumu kupitiliza mpk watu wanakuwa na makasiriko na serikali na vitendo viovu kuongezeka kwenye jamii .....