Bunge la Tanzania mtakubali mwarabu aiharibu nchi yetu?

Bunge la Tanzania mtakubali mwarabu aiharibu nchi yetu?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,644
Bunge la Tanzania mnayo nafasi ya kumuenzi Mzee Magufuli huko alipolala usingizi wa milele

Tunajua mna shinikizo kutoka sehemu fulani! Pia mwarabu amewatengea fungu kubwa kupitisha mkataba wa kifisadi kuwahi kutokea tangu uhuru

Vaeni uzalendo! hamtakufa kwa njaa

Mlisimama na mzalendo Magufuli kuomba kura tunaomba vaeni viatu vyake kwenye hili

Msikibali mwarabu aiteketeze nchi yetu lindeni urithi wa vizazi vijavyo

Mwarabu ameiharibu loliondo mkakaa kimya

Na hili la bandari mnakaa kimya?

Tunaombeni kwenye hili vaeni viatu vya Mzee Magufuli acheni ubinafsi iteteeni nchi yenu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Wakimilikisha malango ya nchi kwa wageni nitawaona vilaza waliotukuka.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hizi Dini ni kitu kibaya sana
angalia sasa kila kitu kinahusishwa na udini
Zanzibar watatunyoosha awamu hii
 
Binafsisha mama! ukuze uchumi na uongeze ajira... hata usipofanya wewe sshivi.. chadema watakuja kufanya hivyo..na tukija kuwahoji watatwambia wanaendana na Kasi ya uchumi wa kileo..
ko nakushauri mama fanya kile unachoona ni sahihi kwa afya ya serikari ya no...
 
Back
Top Bottom