Milipuko na risasi zimesikika katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa, wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.
Haijajulikana waliofanya mashambulizi hayo ambayo bado yanaendelea.
Bunge la kwanza rasmi la Somalia lilianza kufanya kazi miaka miwili iliyopita tangu Somalia kutumbukia katika vita mwaka 1992.
Serikali ya Somalia imekuwa ikiendesha vita dhidi ya kundi la kiisilamu la al-Shabab ambalo lilitimuliwa kutoka mjini Mogadishu mwaka 2011.
Bunge hilo, ambalo huendesha vikao vyake mjini Mogadishu limewahi kushambuliwa ikiwemo mwaka 2009 na 2010.
Mwezi jana Mbunge mmoja aliuawa kwa kulipuliwa huku mwingine akipigwa risasi na kuuawa katika mashambulizi mawili tofauti.
Wanajeshi 22,000 walio chini ya muungano wa Afrika wanasaidia vikosi vya Somalia kupambana na Al Shabaab.
Ingawa kundi hilo limepoteza udhibiti mkubwa wa miji kadhaa nchini Somalia, bado linadhibiti maeneo mengi ya vijijini.
wanauza mkaalawmaina78 waltham kadoda11 Geza Ulole bagamoyo
Hivi hawa wakenya wanafanya nini somalia hadi wanashindwa kuzuia vitu kama hivi?
wanauza mkaa
lawmaina78 waltham kadoda11 Geza Ulole bagamoyo
Hivi hawa wakenya wanafanya nini somalia hadi wanashindwa kuzuia vitu kama hivi?
Wanauza mirungi na kuwaibia wanyonge
Milipuko na risasi zimesikika huku majengo ya bunge la Somalia yakishambuliwa mjini Mogadishu wabunge wakiwa ndani kwa mkutano.
Taarifa zaidi zinakujia hivi punde
===========================
Source:BBC
[/QUOTE.... Kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Al Shabaab
limeshambulia bunge la Somalia na
kusababisha vifo vya watu kadhaa mjini
Mogadishu.
Milipuko na milio ya risasi imesikika huku
bunge likishambuliwa, wabunge wakiwa ndani
kwa mkutano.
Gari lililokuwa na mabomu lilipuka leo kabla
ya saa sita mchana na kufuatiwa na milipuko
mingine pamoja na milio ya risasi.
Wabunge pamoja na wafanyakazi wengine
waliweza kuokolewa punde baada ya gari
kulipuka.
Mashambulizi hayo bado yanaendelea huku
wapiganaji hao walifyatua risasi wakiwa ndani
ya msikiti mmoja karibu majengo ya bunge.
lawmaina78 waltham kadoda11 Geza Ulole bagamoyo
Hivi hawa wakenya wanafanya nini somalia hadi wanashindwa kuzuia vitu kama hivi?
Hahaha KDF ni janga
Wawaige JWTZ walivyowatimua kina Kagame Kongo
usimchokoze faizaduuh hapo walikuwa wanalipiza kusasi kwa nani?
cc FaizaFoxy
uongo MUNISCO ni majeshi toka mataifa mengi.JKT ni tone pale DRC. hawana direct command on the ground.this is empty noise.Further the fellows fighting in DRC cant be compared with AL QAEDA funded al shabaab in somalia.
what a dumb statement.first ignorance has no defence.kenya haipo mogadishu sector.pili command ipo chini ya AU not kenya.Tatu jeshi lenu lipo chi ya MUNISCO/UN DRC. sasa tukulize mbona DRC kuna shida bado, mbona hawajarejea nyumbani JKT.