Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,506
- 51,111
Wanaosemaga Iran ndembe ndembe wawe na akili sasa!!
The House of Representatives has adopted the 2020 military spending bill, but with an amendment that blocks war on Iran without congressional approval – backed by President Donald Trump’s outspoken critics and supporters alike.
A bipartisan amendment to bar the executive branch from offensive action against Iran without explicit authorization from Congress was adopted with a 250-170 vote, with 27 Republicans joining the Democrats in support, and seven Democrats crossing the aisle in opposition.
The amendment was proposed by otherwise unlikely allies: Rep. Ro Khanna (D-California) of the Progressive Caucus, and Rep. Matt Gaetz (R-Florida) of the Freedom Caucus, one of the most prominent Trump supporters in the House.
“What Ro and I are proposing is not to lay our arms down and make victims or targets out of our service members,” Gaetz told Fox News prior to the vote, flanked by Khanna. “We do not believe that any president should be able to lurch into a decades-long war in the absence of approval by Congress.”
Republicans & Democrats agree: No war on Iran (without Congress at least)
The House of Representatives has adopted the 2020 military spending bill, but with an amendment that blocks war on Iran without congressional approval – backed by President Donald Trump’s outspoken critics and supporters alike.www.rt.com
Bado rais ana uwezo kisheria kuitangaza nchi ipo kwenye hali ya hatari... Akitangaza nchi ipo kwenye hali ya hatari anafaya lolote lile bila bunge wala seneti kumzuia!
Mkuu kwani ulikuwa hujuwi kwa nini Recep-Tayyip-Erdoğan Aliposema lazima ni nunuwe S-400 kwa pesa ndefu na kuivunja katiba ya Nato inayo mlazimisha kununuwa mifumo hio kwa washirika wa NATO!Tukiachana na hilo bunge la Us kupitisha sheria hio ukweli mchungu Iranwako sawa haswaaa, na wamejipanga kabisa, alaf kitu kinachowaogopesha zaidi hao wabunge wa Us ni kuwa hawajui Iran itajibu kivipi, maana vitisho vya maneno tu vya Iran vimeshusha petroldollarsthamani, kiukweli Dunia ya sasa ukiwa na silaha hatari, alaf anga lako ukijua kulifunga hautoguswa na nchi yyte mpaka Dunia itamaliza, kubwa utakachofanyiwa ni vikwazo, na vikwazo ukijua kucheza navyo ndio unawamaliza kabisa aaa, Hongera sana Iran
Uturuki ilishahitaji na kuomba kuuziwa mifumo ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wa anga lake.Mkuu kwani ulikuwa hujuwi kwa nini Recep-Tayyip-Erdoğan Aliposema lazima ni nunuwe S-400 kwa pesa ndefu na kuivunja katiba ya Nato inayo mlazimisha kununuwa mifumo hio kwa washirika wa NATO!
Alisha juwa S-400 ikifu'nga Anga hao Kware F-35 na F-22 wana nasa kwenye ulimbo + Kunguru Weusi F-16 !
Ukisikia Russia waliposema wanauwezo wa kufunga anga wana uwezo kweli na kuzifanya GPS ziwe Bluetooth!!
Kwa kiasi kikubwa, Marekani ni kielelezo cha Democracy Duniani. Ukitazama uhuru wa Bunge, Mahakana, Vyombo vya Habari n.k. utaelewa utofauti kati yao na nchi zingine hasa za Kidikteta.Naona Marekani imetafuta upenyo wa kuficha aibu kwa kujifanya Congress imezuia!
Iran kakomaa nao wala hakutetereka!
Kwa kifungu gani cha sheria ya US inasema ivyo?? Usjekua unaongea nchi ya jiwe ww?? Maana jiwe anaweza kujiamulia vyovyote vile anavyojiskia bila ya kufata katiba ya nchi, ilimradi jecha atangaze fisi
Zuio halijawekwa na Congress bali Baraza la Wawakilishi linalomilikiwa na Democratic.Kwa kiasi kikubwa, Marekani ni kielelezo cha Democracy Duniani. Ukitazama uhuru wa Bunge, Mahakana, Vyombo vya Habari n.k. utaelewa utofauti kati yao na nchi zingine hasa za Kidikteta.
Kwahiyo si jambo la kushangaza Congress kuweka zuio kwa kiongozi wa nchi na si mara ya kwanza na wala si kwamba wanaficha aibu.
Kuna mataifa ambayo Rais ama Kiongozi wa Nchi ndio mwenye Final Say katika kila jambo ikiwemo maswala ya vita na pia maswala mengine yanayopaswa kuamuliwa na Bunge.
Ukichunguza hata vyombo vya habari vinaendeshwa na Serikali na hata mabunge yao hayana mamlaka mbele ya Kiongozi wa nchi kitu ambacho ni tofauti kwa Marekani.
Thanks. House of Representatives.Zuio halijawekwa na Congress bali Baraza la Wawakilishi linalomilikiwa na Democratic.
Unajua maana ya congress?Zuio halijawekwa na Congress bali Baraza la Wawakilishi linalomilikiwa na Democratic.