Bunge la Marekani lapitisha sheria kumbana Trump kupigana vita na Iran bila ridhaa yake

  • Thread starter Missile of the Nation
  • Start date
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,158
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,158 2,000
The House of Representatives has adopted the 2020 military spending bill, but with an amendment that blocks war on Iran without congressional approval – backed by President Donald Trump’s outspoken critics and supporters alike.
A bipartisan amendment to bar the executive branch from offensive action against Iran without explicit authorization from Congress was adopted with a 250-170 vote, with 27 Republicans joining the Democrats in support, and seven Democrats crossing the aisle in opposition.

The amendment was proposed by otherwise unlikely allies: Rep. Ro Khanna (D-California) of the Progressive Caucus, and Rep. Matt Gaetz (R-Florida) of the Freedom Caucus, one of the most prominent Trump supporters in the House.

“What Ro and I are proposing is not to lay our arms down and make victims or targets out of our service members,” Gaetz told Fox News prior to the vote, flanked by Khanna. “We do not believe that any president should be able to lurch into a decades-long war in the absence of approval by Congress.”

IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
318
Points
1,000
IKWETA KONZO M

IKWETA KONZO M

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
318 1,000
Yajayo yanfurahisha
The House of Representatives has adopted the 2020 military spending bill, but with an amendment that blocks war on Iran without congressional approval – backed by President Donald Trump’s outspoken critics and supporters alike.
A bipartisan amendment to bar the executive branch from offensive action against Iran without explicit authorization from Congress was adopted with a 250-170 vote, with 27 Republicans joining the Democrats in support, and seven Democrats crossing the aisle in opposition.

The amendment was proposed by otherwise unlikely allies: Rep. Ro Khanna (D-California) of the Progressive Caucus, and Rep. Matt Gaetz (R-Florida) of the Freedom Caucus, one of the most prominent Trump supporters in the House.

“What Ro and I are proposing is not to lay our arms down and make victims or targets out of our service members,” Gaetz told Fox News prior to the vote, flanked by Khanna. “We do not believe that any president should be able to lurch into a decades-long war in the absence of approval by Congress.”

STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,796
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,796 2,000
Kwa kifungu gani cha sheria ya US inasema ivyo?? Usjekua unaongea nchi ya jiwe ww?? Maana jiwe anaweza kujiamulia vyovyote vile anavyojiskia bila ya kufata katiba ya nchi, ilimradi jecha atangaze fisi
Bado rais ana uwezo kisheria kuitangaza nchi ipo kwenye hali ya hatari... Akitangaza nchi ipo kwenye hali ya hatari anafaya lolote lile bila bunge wala seneti kumzuia!
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,796
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,796 2,000
Tukiachana na hilo bunge la Us kupitisha sheria hio ukweli mchungu Iran wako sawa haswaaa, na wamejipanga kabisa, alaf kitu kinachowaogopesha zaidi hao wabunge wa Us ni kuwa hawajui Iran itajibu kivipi, maana vitisho vya maneno tu vya Iran vimeshusha petrol dollars thamani, kiukweli Dunia ya sasa ukiwa na silaha hatari, alaf anga lako ukijua kulifunga hautoguswa na nchi yyte mpaka Dunia itamaliza, kubwa utakachofanyiwa ni vikwazo, na vikwazo ukijua kucheza navyo ndio unawamaliza kabisa aaa, Hongera sana Iran
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,589
Points
2,000
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,589 2,000
tangu iran alivyolipua kopo lao wanaliita Drone,,Us wamechanganyikiwa wamebaki wanatapatapa tu kwa kukosa la kufanya
Nilishangaa sana kuona wanashindwa kulipiza kisasi baada ya kuangushwa ndege yao kwa maksudi

jamani ogopen kitu kinaitwa kordad yaaani unaambiwa kimeshalifunga anga la Iran huko hakuna upenyo kabisa..

halafu inasemekana Iran walishatengeneza vichwa vya nyuklia vya kutosha tangu mwaka 2002 ndio maana wale waajemi wana jeuri balaaaa
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,796
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,796 2,000
Haooooo wameshaingia mitini , ivi hii ni Marekani kweli au, mm siamini, pahali popote anapoingia Urusi basi lazima Us atie mkia koko, kuna video niliiona ya hawa waIrani ukiachana na S-300 na ile Mirada yao ya ajabu inayotisha na ile Missiles zao, yaani wametengeneza Robot za kijeshi wakizifanyia mazoezi zinazopiga shabaha na hazikosei, ndio nikasema hawa watu ndio maana Us akala kona
 
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Messages
6,951
Points
2,000
fundi25

fundi25

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2013
6,951 2,000
Tukiachana na hilo bunge la Us kupitisha sheria hio ukweli mchungu Iran wako sawa haswaaa, na wamejipanga kabisa, alaf kitu kinachowaogopesha zaidi hao wabunge wa Us ni kuwa hawajui Iran itajibu kivipi, maana vitisho vya maneno tu vya Iran vimeshusha petrol dollars thamani, kiukweli Dunia ya sasa ukiwa na silaha hatari, alaf anga lako ukijua kulifunga hautoguswa na nchi yyte mpaka Dunia itamaliza, kubwa utakachofanyiwa ni vikwazo, na vikwazo ukijua kucheza navyo ndio unawamaliza kabisa aaa, Hongera sana Iran
Mkuu kwani ulikuwa hujuwi kwa nini Recep-Tayyip-Erdoğan Aliposema lazima ni nunuwe S-400 kwa pesa ndefu na kuivunja katiba ya Nato inayo mlazimisha kununuwa mifumo hio kwa washirika wa NATO!
Alisha juwa S-400 ikifu'nga Anga hao Kware F-35 na F-22 wana nasa kwenye ulimbo + Kunguru Weusi F-16 !
Ukisikia Russia waliposema wanauwezo wa kufunga anga wana uwezo kweli na kuzifanya GPS ziwe Bluetooth!!
 
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
3,158
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
3,158 2,000
Waajemi tuko vizuri
Marekani anajua akiingia kichwa kichwa, siyo visima vya Irani tu vitakavyoungua lakini pia visima vya mafuta vya Saudia, Kuwait kote huko kwenye maslahi yake vitatiwa moto, bei ya petroli itapanda, uchumi wa dunia utakuwa hohehahe na Trump huenda akashindwa uchaguzi. Wakati huo Hezbollah na Hamas watalianzisha dhidi ya Israel, na Mashia wa Iraq wataanza tena kuwashushia Kichapo wanajeshi wa Marekani walioko Iraki
 
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
1,543
Points
2,000
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
1,543 2,000
Mkuu kwani ulikuwa hujuwi kwa nini Recep-Tayyip-Erdoğan Aliposema lazima ni nunuwe S-400 kwa pesa ndefu na kuivunja katiba ya Nato inayo mlazimisha kununuwa mifumo hio kwa washirika wa NATO!
Alisha juwa S-400 ikifu'nga Anga hao Kware F-35 na F-22 wana nasa kwenye ulimbo + Kunguru Weusi F-16 !
Ukisikia Russia waliposema wanauwezo wa kufunga anga wana uwezo kweli na kuzifanya GPS ziwe Bluetooth!!
Uturuki ilishahitaji na kuomba kuuziwa mifumo ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wa anga lake.

Maombi yalikataliwa kutokana na kile kinachosemekana kuwa ni maswala mbalimbali ya kisheria yaliyoifanya Marekani isiiuzie Uturuki mifumo hiyo.

Ndipo Uturuki kuamua kutafuta mbadala wa mifumo hiyo ambapo kwao wakaona kuwa S-400 zitawafaa.

Isitoshe bado pia wanazihitaji ndege za F-35 kwa ajili ya Air Force yao na ni kitambo sana marubani wao wapo Marekani kwa ajili ya mafunzo ya hizo ndege.
 
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Messages
1,543
Points
2,000
FRANC THE GREAT

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined May 27, 2016
1,543 2,000
Naona Marekani imetafuta upenyo wa kuficha aibu kwa kujifanya Congress imezuia!
Iran kakomaa nao wala hakutetereka!
Kwa kiasi kikubwa, Marekani ni kielelezo cha Democracy Duniani. Ukitazama uhuru wa Bunge, Mahakana, Vyombo vya Habari n.k. utaelewa utofauti kati yao na nchi zingine hasa za Kidikteta.

Kwahiyo si jambo la kushangaza Congress kuweka zuio kwa kiongozi wa nchi na si mara ya kwanza na wala si kwamba wanaficha aibu.

Kuna mataifa ambayo Rais ama Kiongozi wa Nchi ndio mwenye Final Say katika kila jambo ikiwemo maswala ya vita na pia maswala mengine yanayopaswa kuamuliwa na Bunge.

Ukichunguza hata vyombo vya habari vinaendeshwa na Serikali na hata mabunge yao hayana mamlaka mbele ya Kiongozi wa nchi kitu ambacho ni tofauti kwa Marekani.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
11,086
Points
2,000
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
11,086 2,000
Kwa kiasi kikubwa, Marekani ni kielelezo cha Democracy Duniani. Ukitazama uhuru wa Bunge, Mahakana, Vyombo vya Habari n.k. utaelewa utofauti kati yao na nchi zingine hasa za Kidikteta.

Kwahiyo si jambo la kushangaza Congress kuweka zuio kwa kiongozi wa nchi na si mara ya kwanza na wala si kwamba wanaficha aibu.

Kuna mataifa ambayo Rais ama Kiongozi wa Nchi ndio mwenye Final Say katika kila jambo ikiwemo maswala ya vita na pia maswala mengine yanayopaswa kuamuliwa na Bunge.

Ukichunguza hata vyombo vya habari vinaendeshwa na Serikali na hata mabunge yao hayana mamlaka mbele ya Kiongozi wa nchi kitu ambacho ni tofauti kwa Marekani.
Zuio halijawekwa na Congress bali Baraza la Wawakilishi linalomilikiwa na Democratic.
 
Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top