edgarharson
Member
- May 5, 2011
- 20
- 5
Kwa style hii ya wabunge wa BMK kutumia maneno ya mungu kwa dhihaka...yatawarudia.
Hisia za wengi watanzania wazalendo ni mpate katiba ya maridhiano.
Nikiwatizama wajumbe wa iliyokuwa ya Warioba naona uwepo wa matarajio halisi ya wengi watanzania wa kawaida kama mimi tunaotaka haki na usawa katka jamii ya watanzania,sioni matumaini yeyote kutoka kwa rasimu hii ya sitta na vijisenti.
:flame:Mungu isaidie mama yetu Tanzania, tupate katiba ya wananchi sio katiba ya watawala.:flame: