Bunge la katiba

Bunge la katiba

Dactar wizzy

Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
33
Reaction score
5
ETI Hii katiba inayotungwa BUNGENI sikatiba ya CHAMA KABISA sio KATIBA YA WANANCHI,,kila nikifuatilia Vipengere vya Rasimu niliyonayo na Vipengele vya Rasimu inayotumika bungeni ni TOFAUTI KABISA,,,inamaana INATUNGWA KATIBA YA WANA CCM TU hata wajumbe wake wako wengi ndani "KATIBA YA CHAMA CHA CCM SIO YA WANANCHI"
 
Mkuu ule ni mkutano wa kamati kuu sijui mkutano mkuu wa CCM, kupitia na kutengeneza katiba mpya ya chama chao, sio bunge maalum la katiba.
Bunge maalum la katiba ya wananchi,litaishwa baada ya uchaguzi mkuu ujao 2015, vuta subira mwananchi
 
Mtaimbo waichaicha nao ,wanao umewaganda !:third:
 
ETI Hii katiba inayotungwa BUNGENI sikatiba ya CHAMA KABISA sio KATIBA YA WANANCHI,,kila nikifuatilia Vipengere vya Rasimu niliyonayo na Vipengele vya Rasimu inayotumika bungeni ni TOFAUTI KABISA,,,inamaana INATUNGWA KATIBA YA WANA CCM TU hata wajumbe wake wako wengi ndani "KATIBA YA CHAMA CHA CCM SIO YA WANANCHI"
Mkuu basi waambie UKAWA wakutane watunge hiyo "Katiba ya Wananchi!"
 
Mapendekezo ya wananchi kuhusu katiba mpya tayari yako katika rasimu ya Warioba! Sasa unataka UKAWA wafanye nini!
 
Back
Top Bottom