bunge la katiba ladoda

bunge la katiba ladoda

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,037
Kukosekana kwa ukawa bungeni kumelifanya bunge kudoda.halna mvuto,ni upuuzi tu unaendelea kujadiliwa.hakuna lolote.
 
Wamezoea kuingiza siku kwa kuzomea na kuendekeza mipasho sasa hawana cha kufanya. Aibu iliyoje, yafaa walaaniwe kabisa viumbe hao.
 
it is non sense kubaki na YES PEOPLE FOR THIS NOBLE PROCESS. Nahisi harufu mbaya sana!
 
Back
Top Bottom