Tena Chakushangaza Ni kwamba Wanatunga Sheria Wenyewe Harafu Wanashindwa Kuisimamia.Leo ndo walikuwa wanawaadhibu ukawa, ndo walikuwa wanaelezea ya Lissu na ndo leo wanamalizia bunge. Swali ni je, nani atalipia muda wa ziada? Kuna mfadhili au?
Hiyo ni chombeza tu! BadoNiko Hapa Home Nikifuatilia Matangazo Ya Bunge Kupitia Startv Waliojiunga Na Channel Ya Bunge.
Hivyo Naomba Nijurishwe Kama Ile Hoja Ya Kubana Matumizi Imeondolewa Au Bado??
Ulikuwa unaangalia saa ngapi? Leo bunge limeahirishwa hadi Septemba , so waliongeza muda ili PM amalizie hotuba. Nadhani haukuwa aware na hilo.Niko Hapa Home Nikifuatilia Matangazo Ya Bunge Kupitia Startv Waliojiunga Na Channel Ya Bunge.
Hivyo Naomba Nijurishwe Kama Ile Hoja Ya Kubana Matumizi Imeondolewa Au Bado??
Nmefuatilia Matangazo ya bunge ya leo toka kikao kimeaza hadi bunge linaghaishwa na walikua live mwanzo mwisho. sasa je hayo sio matumizi mabaya ya pesa waliyo yakataa hapo mwanzo?. au hiyo sheria ya kuongeza muda wameitoa wapi hii leo?? je! kwa kufanya hivyo huoni kama wanakwenda kinyume na sheria waliyo itunga wenyewe?Ulikuwa unaangalia saa ngapi? Leo bunge limeahirishwa hadi Septemba , so waliongeza muda ili PM amalizie hotuba. Nadhani haukuwa aware na hilo.